Class of 2011

Ebwana hiyo picha ya kwanza ni pande zipi mkuu? Kuna mbunge kweli huko?
 
Sasa tuilaumu serikali,wazazi au sisi Watanzania wote tunasthili lawama?
 
:A S embarassed::shock:50 Years of Independence, na serikali ya Chukua Chako Mapema
 
du aisee....

Mkuu unashangaa hiyo...................kuna picha iliwekwa hapa Chimpanzee wanafundishwa kutumia Ipad..........wakati sisi ndo kwanza hata madawati darasani hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…