Class method ni ambazo zinatoa huduma zinazopatikana kwenye class husika mfano getters zinazotumika kuaccess data za attributes(variable) ya class. Halafu static method ni method ambayo inakua inahusiana na class moja kwa moja badala ya ile copy ya class.