Civil War Diaspora USA

Civil War Diaspora USA

Wewe unaonekana ni tatizo kwa maelezo yako tu hapa juu.ebu tuambie tatizo lake ni nini?.kwa uzi wako hapo juu unaonekana una chuki moja kwa moja.Hapa unatukana.Mtoa mada amesema kuna matusi kumbe mmoja wa watoa matusi tayari tumekuona.
 
hivi hizo jumuiya huwa zinasaidia nini watanzania? au ni ulaji tu mpaka ughaibuni?
 
Jamani msijifanye kukoment mambo ya DMV wakati hamyajui, shut a f..kc up. Subirini matokeo huyo Libe au Sandally hammjui cc ndio tunawajua.Acha movie iendelee kalaleni.
 
Jamani msijifanye kukoment mambo ya DMV wakati hamyajui, shut a f..kc up. Subirini matokeo huyo Libe au Sandally hammjui cc ndio tunawajua.Acha movie iendelee kalaleni.

tuelimishe basi mkuu huyo idd sandaly alifanya ni au hakufanya nini kwenye term yake? pia huyu libe anakuja na jipya gani au ameahidi nini?

maana nina rafiki zangu walimfanyia kampeni Sandaly ashinde na alishinda lakini this time wapo kwa libe tena waziwazi mpaka Facebook wanamfanyia kampeni, hebu naomba utufumbuwe macho ili tupate mwangaza.
 
I didn't know that one among mine, is cummuned with such silly low lives,
 
Elezea uhuni wake na pia na political uchwara wake.Ndugu ni vizuri ungekuwa positive katika kuleta suluhu ya matatizo yenu.hapa kwa jinsi ninavyokuona unazidi kuchochea katika maneno yako "mshenz ,muhuni anajifanya analeta changes ,analeta mambo ya politics uchwara.Inaonekana wewe ni moja ya matatizo.kwa ushauri ,uwe unatabia ya kujenga sio kubomoa.alafu weka data kuhusu maelezo yako hapa JF ni pahala per ma great thinker.sasa ndugu unavyoeleza kitu weka data au clip ya ushahidi wako hapa.
 
Kuna MTU anaitwa liberatus mwangombe ni mgombea urais DMV kwao ni pale chimala mbeya ni mshenz sana muhuni anajifanya anataka changes analeta mambo ya politiks uchwara
Rudini kule kwenu na mitisi yenu
 
JK alisema Disapora hawana jipya

sasa badala ya kuungana wameanza civil war

MATUKIO-MICHUZI: I DESERVE BETTER THAN THIS, MUOGOPENI MUNGU KAMPENI ZA NAMNA HII HAZITUFAI - IDD SANDALY


kwa mpango huu tutafika?

[h=3]Official Statement: "Team Libe for DMV Community President 2014"[/h]
Tumesikitishwa na upotoshaji wa Ndg. Idd Sandaly alio utoa siku ya jana, July 4, 2014, juu ya timu ya Mgombea Urais wa DMV Ndg. Liberatus Mwang’ombe “Libe”. “Timu Libe for DMV Community President 2014” tunaomba Umma wa DMV na duniani kote upuuzie upotoshaji wa Ndg. Sandaly kuwa tumekuwa tukifanya kampeni za kutaka kumchafua. Tuhuma hizi ni za uongo, uchochezi na zinalenga kubomoa jamii yetu ya DMV.


Tokea mgombea Liberatus Mwangombe “Libe” achukue fomu za kugombea na jina lake kutangazwa na tume ya uchaguzi; ametaja timu yake inayo undwa na watu wanne hadi hivi sasa. Timu hiyo ya Ndg. Libe inaundwa na;


Mwanaidi Love “Mona”/kampeni meneja
Omby Nyongore/ Kampeni meneja msaidizi
Ebou Shatry aka SwahilVilla/ Muandishi wa habari
Alawi Omari/ Strategist


“Timu Libe for DMV Community President 2014” inapenda kuutaarifu Umma kuwa isihukumiwe wala kushirikishwa au kuhusishwa na habari yeyote itakayo tolewa na mtu yeyote asiopo kwenye majina tajwa hapo juu. Kinyume na hapo, ni kutaka kuendeleza kampeni za kuchafuana; sisi hatuta kuwa na muda wa kujibishana. Pia, tunapenda kuutaarifu Umma kuwa “Timu Libe for DMV Community 2014” hatuna uwezo wa ku “control” kinacho andikwa na watu kwenye mitandao ya kijamii. Zaidi, tunaheshimu haki ya kuzungumza mawazo; “FREEDOM OF SPEECH.”


Kwa sasa, kampeni zetu zimejikita kwenye kutafuta mbinu za kuiwezesha jamii ya DMV kuungana; kuelezea sera zetu na sio kutenganishana.




UNITED WE STAND; DIVIDED WE FALL
“Timu Libe for DMV Community President 2014”
Imetolewa na Mwanaid Love “Mona”/ Kampeni manager

Kwa habari za mgombe Liberatus Bofya hapa> Liberatus "Libe" 4 DMV Community President 2014
 
Yule jamaa anayejiita sijui "Libe" ndiyo tatizo. The dude is so petty and full of shit. Anatia kichefu chefu. Mpuuzi mkubwa na kubwa jinga!

UCHAGUZI DMV, USA: Timu Libe for DMV Community President 2014


Na Ebou Shatry/SwahiliVilla

Hizi ndizo kampeni za Mgombea wa Urais wa Jumuia ya waTanzania DMV, Bwana Liberatus Mwang’ombe "Libe". Kumekuwa na minog'ono na tuhuma eti "Timu Libe for DMV Community President 2014" wanafanya kampeni za kashfa; tuhuma ambazo si za kweli na ni uongo wa mchana kweupe. Hizi ndizo kampeni zake tangu kuaza kwa Kampeni zake!!



"Angalia "episodes" za kampeni za Timu Libe for DMV Community President 2014"








Habari zaidi za mgombea huyu click hapa>Liberatus "Libe" 4 DMV Community President 2014

Facebook Page click hapa>https://www.facebook.com/pages/Libe...sident-2014/687856687917610?ref_type=bookmark
 
Last edited by a moderator:
Bila siasa hakuna maisha,ila tu sema hiyo siasa inafanyikaje na muda gani na mahali gani.
Nashukuru..maana naona umenijibu mwenyewe..kwamba saisa inafanyika vipi na wapi..?!
 
Main concerns zake ni kama Sandaly alisaini kitabu cha msiba na kuchangia jezi za mpira, kupiga picha akitembelea wagonjwa na kugawa mipira ya miguu shule ya msingi, kujifagilia for mundane acts of kindness to friends, strangers, etc.
 
Nawatakia uchaguzi Mwema .Diaspora itaimarika zaidi kama kuna mawazo mapya,mbinu mpya za kuipeleka Jumuiya mbele n.k
 
Wakuu mweka hii mada amekosea kujumuhisha watanzania wote USA.Atambue state zingine kuna jumuia zao pia na zipo safi hakuna tatizo.Kwanza naomba niweke wazi kuhusu huu uchaguzi wa kumtafuta kiongozi wa jumuia ya watanzanzania [Maryland,washington dc na virginia].Hawa wagombea uongozi wote katika nafasi ya urais walikuwa kambi moja uchaguzi katika miaka miwili iliyopita.Mmoja amabye alishakuwa rais anaitwa IDD SANDALY na ambae hajawahi kuwa rais ni Liberatus Mwang'ombe.Kwa ufupi nilichoona hapa ni ulevi wa madaraka.Jamani kuna vijana wengi sana smart wanaweza kutuongoza sio lazima tuendelee na mtu mmoja yule yule mwenye idea ile ile na mbinu zile zile.Tuwe na taratibu kuangalia mwingine ata inject mipango ipi katika jumuia huku akichukua yale mazuri aliyoyaweka aliyepita.Na tuendelee na taratibu hii ya kushindani kuweka mikakati na mbinu mpya kwenye jumuia ,kwa kweli kwa miaka sita ijayo jumuia itakuwa mbali sana na strong.Kwa mfano tumejifunza kutoka kwenye jumuia za wenzetu kama waiethiopia na wamexico wapo very smart kuchangia maendeleo ya kwa kuchangia pesa moja kwa moja kwenye mfuko maalum.Ndio maana umeona wa ethiopia wamejenga Dam kubwa ya kufua umeme.Ule ni mchango wa waethiopia walio diaspora.Sasa sis kama watanzania tulio nje tunajifunza nini kutoka kwa wenzetu?hata vifaa vya hospital vinatushinda?.Nimeona sera za Liberatus kwa kweli kwa upande wangu nimekubali ,kwani ameshaonyesha alifanya nini huko nyumbani katika kusaidia jamii na atafanya nini.Huyu kiongozi aliyepita bado hadi sasa ajasema sera zake ,ila ninachoona ni maneno yanarushwa huku na kule.ambayo hayasaidii kitu tunataka useme ulifanya nini na utafanya nini basi lakini propaganda za kizamani tumeshachoka nazo.Naomba tubadilike tuwe positive katika issues za maendeleo ya nchi yetu.Mungu wabariki watanzania wa diaspora na wa Nyumbani.
 
Haya mathread ya siasa za dmv yangekusanywa, yakaunganishwa na kuwa permanently deleted

hayana maana zaidi ya kuchafuana tu mitandaoni... Kambi zote zimeshindwa kabisa kusimama imara kimkakati
 
Back
Top Bottom