Mkuu Maalim
Senior Member
- May 4, 2017
- 101
- 92
Husika na kichwa cha habari hapo juu mimi ni muhitimu wa ordinary diploma in civil engineering
nimehitimu mwaka jana katika chuo cha sayansi na teknolojia mbeya kwa sasa nipo mkoani Iringa, natafuta sehemu ya kujitolea ili niweze ongeza experience katika fani Yani nipo tayari kujitolea mkoa wowote
Natanguliza shukran.