"Civil and irrigation, civil and water resource"
Kwa kifupi hata kama hiyo "civil" isingekuwepo lazima usoma kozi za structural design. Hata ungesoma irrigation eng lazima usoma usome structural design.
So jibu la swali lako, unaajiriwa vizuri kabisa. ILA UJUE KWENYE AJIRA UNAWEZA UKAWA NA DEGREE YA CIVIL NA BADO UKAWA MWEUPE KICHWANI yani mweupe pee!!
Jua chuoni utapewa "ka intro" tu, baada ya hapo utatakiwa ujiongeze mwenyewe kujisomea softwares nk.
Mfano chuoni hutafundishwa kutumia staad pro au prota au etabs ila kwenye ajira(hasa zile zinazo husu design) kama hujui walau moja imekula kwako!!