Naomba kueleweshwa hizo concrete grade zinatakiwa kua na strength kiasi gani? Kuanzia m5 hadi M35Grades of Concrete!
Katika Uchanganyi wa Zege (Concrete Mix) Kuna Aina mbili yaani Nominal Mix, na Design Mix..
Nomina Mix
Hii inatumika hasa kwenye nyumba za kawaida za kuishi yaani pale ambapo High strength ya zege haihitajiki..Hasa kwenye nyumba za kawaida, Nominal Mix ina Gredi/Class kama 5,7.5,10,15,20,25 ila Gredi 15 hadi 25 mara nyingi hutumika kwenye nguzo na msingi.. hasa katika sehemu inayohitaji usukaji wa Nondo..
Design Mix!
Aina ya Pili ni hii Design Mix.. hii hasa hutumika kwenye Project kubwa sana ambazo zinahitaji high strength concrete.. aina hii lazima kwanza vipimo vya kimaabara vifanyike..Huanzia class 30, 35,40 na Kuendelea!
NOTE
Tunaposema class/Grade tunamaanisha uwiano wa Mchanga, cementi , maji na Kokoto Katika Zege..
Kwa Zege zuri mara Nyingi Kiasi cha Maji kiwe nusu ya Kiasi cha Cementi katika uwiano wa uzito Yaani Cement:Maji=0.5
Uwiano wa Zege Huwa Cement:Mchanga:Kokoto, Tuangalie kila Gredi na Uwiano wake..
M5 =1:5:10
M7.5=1:4:8
M10=1:3:6
M15=1:2:4
M20=1:1.5:3
M25= 1:1:2
Class/Grade Kuanzia 30 ni Design Mix, Mathematical Evaluations zinahitajika!
Asanteni!
Mkuu uwiano wa Maji na Cement katika kazi za kawaida ya Nominal Mix Hatuizingatii ila tunapima kama zege lipo uniform kwa kulitazama kwa Macho, Kwa Mfano unatengeneza zege la Grade 30 ya Cement yenye uwezo (Strength) 42.5R yaani Ratio 1:1.5:3 yaani cement:sand:aggregates, hapo unachukua kipimo ndoo kubwa tu yaani Volume.. sasa hapo uwiano wa maji na cement ni wewe operator wa zege una observe tu.. unaeka Maji kidogo kidogo mpaka upate uniform concrete...mkuu kwenye uwiano wa cement ;maji =0.5 sasa hapo maji unayapimaje katika hali ya uzito?
Mkuu kwanza hizo M5 mpaka 35 ni Strength kwa mm^2... but Kama unamaanisha cube strength baada ya siku 7/14/28 za curing.. Angalia CML..(Central Material Laboratory)Naomba kueleweshwa hizo concrete grade zinatakiwa kua na strength kiasi gani? Kuanzia m5 hadi M35
Low bearing capacity of the soil
Hii construction failure unafikiri imesababishwa na nini?
Kitab kiko hapa mkuu..View attachment Why Buildings Fall Down how Structures Fail By Matthys Levy and Mario Salvadori.pdfPia Kama Kuna Mtu ana Kitabu Kinaitwa Why Buildings Falls Naomba Akiweke Hapa..
Asante sana Ndugu Franklin..Kitab kiko hapa mkuu..View attachment 835843
Shukrn Mkuu...me ni young upcoming engineer kwhy kak experience zenu muhm sna kwang kuzid kujifunzAsante sana Ndugu Franklin..
Pia Ndugu Kuna kitabu kinaitwa Why Buildings Stands na Same Author.. Tuasaidie..Kitab kiko hapa mkuu..View attachment 835843
Ngj nikitafute kak...nikipata nakiweka ucjlPia Ndugu Kuna kitabu kinaitwa Why Buildings Stands na Same Author.. Tuasaidie..
Nimegundua autocad sio nzuri sana kwenye house design, archcad is the best!!