Hii inaweza kusababishwa na soil failure...
Hii construction failure unafikiri imesababishwa na nini?
Unequal settlement
Hii construction failure unafikiri imesababishwa na nini?
Kijana umeleta uzi mzuri ila kwenye heading unasema civil engineers alafu kwenye content unasema engineers wote!! Hapo umetuchanganya mkuu!!
Hii construction failure unafikiri imesababishwa na nini?
Mkuu kwa jengo kama hilo unadhan waliweka foundation ingine tofauti na pile au deep foundation??Sababu nyingine inaweza kua soil liquefaction...
Sijui kiswahili chake...
Ndio maaana jengo lika settled upande mmoja then lika tilt..
Hapa hakukufanyika soil investigations ili kuweza kuamua foundation gani itakayofaaa...
Kama wewe ni injinia jua kujibu kamstari kamoja kama haka unakua unaonyesha dalili za uvivu wa kiwango cha juu sana!!Unequal settlement