Bupilipili
Member
- Oct 31, 2010
- 46
- 16
Hallow dear folks and technocrats.
Am looking for the Training Center or Institution in Dar es Salaam which is conducting review program or training on Certified Information Systems Security Professional (CISSP).
Any one with credible information, please help!
Regards.
My contacts:
Mail: nzegenuka@yahoo.com ; Mobile: +255767 928 892
Hallow dear folks and technocrats.
Am looking for the Training Center or Institution in Dar es Salaam which is conducting review program or training on Certified Information Systems Security Professional (CISSP).
Any one with credible information, please help!
Regards.
My contacts:
Mail: nzegenuka@yahoo.com ; Mobile: +255767 928 892
Tafadhali anetaka certification hii tuwasiliane, erashid@technobrainltd.com
http://www.newhorizons.com/localweb/tanzania/dar-es-salaam/information-security-training-and-certification.aspx
Kuna uhusiano gani kati ya CISA na CISSPNilifanya CISA nikafaulu mwezi june,kama kuna mtu anajua center ya CISSP hapa atujuze asee
Ulisomea wapi? Naomba kupewa taratibu za kuweza kufanya huo mtihani wa CISANilifanya CISA nikafaulu mwezi june,kama kuna mtu anajua center ya CISSP hapa atujuze asee
CISA ni kwa ajili ya auditing kwenye mifumo ya IT,na CISSP ni full security professionKuna uhusiano gani kati ya CISA na CISSP
Mimi nilijisomea mwenyewe ila sikushauri ufanye kama mimi utatumia energy kubwa,tena kama unafanya kazi mahala ndo kabisaa utakosa muda wa kusoma vizuri, CISA ina mambo mengi ,ni vyema ukatafuta centers zake wapo watu wanafundisha kwa dar nishaona matangazo posta,hata humu jf pia nishaona.Ulisomea wapi? Naomba kupewa taratibu za kuweza kufanya huo mtihani wa CISA
Asante sana kwa ushauri, kulipia mtihani na kujisajiri inagharimu kama tsh ngapi hivi?Mimi nilijisomea mwenyewe ila sikushauri ufanye kama mimi utatumia energy kubwa,tena kama unafanya kazi mahala ndo kabisaa utakosa muda wa kusoma vizuri, CISA ina mambo mengi ,ni vyema ukatafuta centers zake wapo watu wanafundisha kwa dar nishaona matangazo posta,hata humu jf pia nishaona.
Kitu cha kwanza unatakiwa uwe na kitabu cha Cisa ,ukisome chote mstari kwa mstari na kuelewa
Ufanye maswali ya kutosha kujua concepts za auditing,leadership,governance,project managements and data protection
Uingie kwenye website yao inaitwa www.isaca.org kuomba membership ujisajili na kulipa gharama ya membership,kama unaweza lipia na mtihani hapo hapo,pia unaeza kununua vitabu vyao humo ndani ,then unasubiri watakutumia ticket ya mtihani ambayo waga ni confidential inakuelekeza mtihani unafanyika wapi lini na saa ngapi
Zamani walikua wanafanya hoteli ya new afrika kule posta ila mimi nilifanyia law school jirani na mawasiliano jijini dar mwezi june mwaka huu
Pia mitihani yao ni paper based,ila nilisoma kwenye website yao,kuanzia mwaka ujao 2017 mitihani itakua online kama CCNA etc,ko nadhani hakutakua na ishu za kusubiri matokeo kwa muda mrefu
Naomba unitumie hicho kitabu kwa email hii massetae@gmail.comCISA ni kwa ajili ya auditing kwenye mifumo ya IT,na CISSP ni full security profession
Uhusiano na umuhimu wake unakuja pale ambapo auditor mwenye CISA anapotaka kujua zaidi mambo ya security(physical/ logical) yanayohusiana na kazi yake.
Pili CISSP is a bit heavy deep and wide inachukua karibia 80% ya contents za CISA...Nina kitabu cha Shon harris(CISSP) mambo karibia yote ya kwenye Cisa review manual yameelezewa ila ni too advanced kwenye topic za security(encryption)
Naomba unitumie hicho kitabu kwa email hii massetae@gmail.com