mojoki
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 1,313
- 291
Ndugu Wadau msaada kwenye tuta:
Nahitaji sana kusoma hii course na sina ufahamu inapotolewa kwa hapa Tanzania, mwenye ufahamu Tafadhali anisaidie
Ningependa kupata maelezo kuhusu mahali inapotolewa, Contact, Course Duration na hata fees cost kama inawezekana, Detail yoyote kati ya tajwa hapo juu zitakua na msaada mkubwa sana kwangu
Kind regards