kuku wa kienyeji.
Kabla ya kuwa certified inatakiwa usome.. It depends unahudhuria review classes ama unasoma mwenyewe; na ukishasoma ni lazima ufanye registration ya mtihani kwa ISACA international..
Fee inategemeana kama ni member wa ISACA ama sio member...na exams zinafanyika mara tatu kwa mwaka, June, September na December.. Na Tanzania tuna ISACA local chapter ambayo inafanya moderation ya hizi course, so ukishasoma, mtihani ni one day katika miezi hiyo niiyoandika hapo juu. Maswali ni 200 na duration is 4hrs .
So kuchukua muda gani kupata certification inategemeana na wewe,,ukifanya mtihani ukafaulu sasa..unatakiwa ufanye application ya kuipata hiyo certification yako...na kama umekamilisha vigezo vyote inachukua almost a month kupata certification yako, na ambayo ukishaipata kila mwaka lazima ilipie fee kwa ajili ya cisa maintanace..
Ila ili kupewa CISA certification, napo kuna vigezo. U need 5 yrs experience in either audit, insurance, compliance, ama ni database administrator,accountant etc, na ingawa huwa wanafanya education waiver substitution experience ya kazi..
Nadhani nimekujibu swali lako.na kama kuna maelezo ya ziada unahitaji nipo tayari kukuelewesha..