Mazee huna nyumba ndogo? wanaume wengine bwana nyie ndio mnaosababisha wanawake watumie nyuchi zao kama silaha! Akisema week wewe mwambie lets make it two weeks ili mtoto apone vizuri!
Du..!!
Mzee hizo comments zako ni extremes!
Ni kweli kama nilivyosema mwanzo, siku ya kwanza
nilitaka kurudi kwa Cheusi, yule aliyekuwa 2nd selection
katika uchaguzi wa kuoa,
lakini with time nimeamua kuachana nae baada ya
kukumbuka kiapo cha ndoa...shida na raha!
Hakuna extreme hapo mazee, sasa wewe ungeminya tu bila kuja kulalamika hapa JF ! Mambo ya viapo vya ndoa ni magumu sana to comprehend .....conspiracy inaweza kuwa labda shemu kuna sehemu anajipoozea na kukuzuga wewe na issue ya circumcision ...upo hapo? Ama vinginevyo mlidhishane kwa njia nyingine si tiGo ....blow job etc etc ....ili kulinda kiapo.
Hapana mzee, hajafikia hatua hiyo! na ishu iko wazi kwake
kwamba nikisikia hata rumours za yeye kuwa na
mahusiano na mtu, jambo la kwanza kabla ya kumuuliza
litakuwa ni kumrudisha kwao!
Na hapo kwenye kijani tena, no comment... ila upele
umefika kwa mkunaji!
Mazee huna nyumba ndogo? wanaume wengine bwana nyie ndio mnaosababisha wanawake watumie nyuchi zao kama silaha! Akisema week wewe mwambie lets make two weeks ili mtoto apone vizuri!
Ha!ha!ha!ha!ha!ha!ha!......Kamanda Masa I like hapo kny rangi.....! Sijakusikia muda mrefu kidogo......!
BWT: Umesikia ya kule kwa joji Kyela.....na buku mbili, nne na tano?.....ha!ha!ha!ha!ha!....ile thread ngoja niitafute...aisee!
Men will always be men! Jamani vumilia tu baba nanii, mbona week moja niliyokwambia ni ndogo tu? hata mimi huwa naigia JF humu.au ndo wanitafutia sababu ili uende kwa nanihii! LOL!
Nipo my bro...mambo na vijambo vimeingiliana.....wanawake always wanatushinda hasa unapowaachia watumie sex kama silaha ya kukukomoa....Hebu nihabarishe imekuwaje na "na buku mbili, nne na tano" Nimekuwa busy na threads za mh Zitto hapa....sijamwelewa kabisa kijana mwenzetu...sijui anatumika ama tunashindwa muelewa?
Stay well
Mas
...si kweli! ndio yale yale ya mama mjamzito kukatazwa kula mayai, au mtoto kubemedwa!
MOD wamekuwa wakali sana isije kuwa iko shimoni hiyo thread....kuna yule rafiki yetu Engineer kila akipost upupu wake jamaa wanakula....hahahaha hadi raha!
Mkuu Mbu,
usidharau kabisa hizi elimu zetu za kiafrica nyingi zina maana sana na zina ukweli, tatizo kubwa Waafrica wengi hatuko wazi, tunakuwa na tabia ya kificho sana kwa hiyo vitu vingi tunaambiwa mwiko bila kuambiwa ni kwa nini, na hapa ndipo wazungu walipotuacha mbali kwani wao wanaweka kwenye maandishi na hata kama kuna modification bac mtu mwingine anaimprove
KUHUSU POINT YAKO YA MAMA MJAMZITO NA MAYAI, THE SECRET BEHIND ILIKUWA BY THAT TIME WANAWAKE WALIKUWA WANAZALIA NYUMBANI KWA WAKUNGA WA KIENYEJI, LAKINI KUKAWA NA MATATIZO KWAMBA BAADHI YA KINA MAMA WALIKUWA NA WATOTO WAKUBWA SANA TUMBONI NA BY THAT TIME KULIKUWA HAKUNA OPERATION, SASA HAO WAKUNGA BAADA YA KUFANYA RESEARCH ZAO WAKAGUNDUA KAMA MAMA NI MJAMZITO NA AKILA VYAKULA KAMA MAYAI YANASABABISHA MTOTO KUWA MKUBWA(KUNENEPA) TUMBONI HIVYO WAKAWAKATAZA WAKINA MAMA KULA VYAKULA KAMA MAYAI WAKIWA WAJAWAZITO ILIWAJIFUNGUE SALAMA LAKINI BILA KUWAAMBIA SABABU
mimi kwa mtazamo wangu hata hiyo kitu ya kutairi itakuwa na maana sio kitu cha bure tu, hivyo vitu vyote vimekuja baada ya research japo hazikuandikwa
Hapana mzee, hajafikia hatua hiyo! na ishu iko wazi kwake
kwamba nikisikia hata rumours za yeye kuwa na
mahusiano na mtu, jambo la kwanza kabla ya kumuuliza
litakuwa ni kumrudisha kwao!
Na hapo kwenye kijani tena, no comment... ila upele
umefika kwa mkunaji!
Hilo ndo tulikua tunasubiri useme,...siyo kusubiri.Wiki nyingi sana Nyamayao!
Na hasa kunapokuwa na sababu zisizoeleweka kama hizo!
Hadi nikawa nafikiri nirudi kwa CHEUSI, yule wa zamani...!