Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,689
Ha ha ha anawachora tu pole we
Mimi nilisikia kahamia RUSSIA na haruhusiwi kutumia kompyuta!
mmemis maskini, poleni muacheni awajibike
Nicole hebu kuja pande hizi tulonge!
Huu unaitwa umbeya wa kimataifa. Muda sio mrefu utasutwa.
Mara ya mwisho kumuona ni ktk jukwaa la Ajira!akifurahia na kushanglia kupata kazi Utumishi wa umma!amekauka sana jukwaani!yawezekana ni majukumu ya kitaifa!lakini pitiapitia hata huku!dah kweli kazi tamu...