Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Wakuu wa Nchi leo nimeenda kununua cialis nikaambiwa vidonge 4 ni 95 elfu ,nikaacha nikaenda phamacy nyingine wakasema 4 pills ni 15 elfu .sasa wakuu Kuna fake na OG ,sikununua tena , mpaka nipate ushaurii hapa JF from Dr ,asante sana wana JF .