CIA waanza kufadhili vikundi vya uasi kutoka Iraq ili kudhoofisha jeshi la Iran na kuleta machafuko ya ndani ya nchi

CIA waanza kufadhili vikundi vya uasi kutoka Iraq ili kudhoofisha jeshi la Iran na kuleta machafuko ya ndani ya nchi

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,323
Reaction score
11,762
Kwa mujibu wa CNN, shirika la kijasusi la Marekani (CIA) linaipa silaha makundi ya upinzani ya Wakurdi wa Iran (yaliyo nchini Iraq, kama vile KDPI) ili kuanzisha operesheni za ardhini magharibi mwa Iran. Lengo ni: kuchochea maasi makubwa dhidi ya utawala, kudhoofisha nguvu za kijeshi za Iran, na kutengeneza machafuko au maeneo huru (buffer zones) kama sehemu ya jitihada za Marekani baada ya mashambulizi na kifo cha Khamenei.

Utawala wa Trump umekuwa katika mazungumzo nao kwa hivi karibuni. Hata hivyo CIA imekataa kutolea maoni juu ya suala hili.

1772580074479.png
 
Hapa trump kacheza kama Pele,no boots on the ground for us forces.
Yeye anawapa pesa ,siraha pamoja na Air cover tu then wanaume hao wanaingia mzigoni.

Iran kaingia kubaya
Yetu macho.
 
Back
Top Bottom