CIA imekiri kuingilia siasa za Venezuela

CIA imekiri kuingilia siasa za Venezuela

kuhusu kura ilioitishwa na maduro jumapili, mwanasheria mkuu w serikali ya venezuela bi Luisa Ortega Díaz ameshasema kuwa kura hio ni kinyume na katiba vilevile bi ortega amekua akisisitiza kuwa ukosefu mkubwa wa chakula na madawa ya binadamu nchini humo kumesababishwa na ufisadi mkubwa unaofanywa na baadhi ya serikali nchini humo na ameahidi kufanya uchunguzi kuhusu tuhuma zote za rushwa zikiwemo zile zimuhuzo rais maduro..hali inazid kuwa tete baada baadhi ya wana CHAVISTA kumuunga mkono bi ortega
 
Ndo maana tumeita wachina wapige pini mitandao kwa wajinga wajinga kama wewe !
Hao wachina wameshindwa kuipiga chini kwao wataweza huku nchi ya Fenti Ford, wachina kibao tupo nao Fb,insta,whatsapp na mitandao mingine y western ambayo imeblokiwa China. Wakiblock na sisi c tuna unblock tu, Cheza na technology wewe.
 
Wako hapo Zantel
Wanavutia muda tu
Hawajapata mtu anayeweza kujiandaa vyema
Wakipata mpinzani sahihi mbona wanalianzisha
 
Back
Top Bottom