CIA doctor in Pakistan

Ami

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
3,160
2,555
Islamabad, Pakistan (CNN) -- The doctor who is suspected of helping the CIA target Osama bin Laden will be charged with treason, Pakistan's information ministry said Thursday.

"A case of conspiracy against the state of Pakistan and high treason is made" against Dr. Shakeel Afridi, the information ministry said, summarizing a commission's investigation into the death of the al Qaeda leader.

Afridi is accused of helping the CIA use a vaccination campaign to try to collect DNA samples from people who lived in bin Laden's compound.
The United States "has repeatedly asked" for the release of the Pakistani doctor, a U.S. official said Thursday. The official declined to comment further on the treason charges.

Pakistani security forces detained the doctor in July, a senior Pakistani security official said at the time. He remained in custody Thursday, but it was unclear whether an attorney was representing him.

A May 2 raid by U.S. Special Operations Forces killed bin Laden at his compound in Abbottabad, Pakistan.

The Guardian newspaper reported earlier this year that in the course of gathering intelligence for the raid, the CIA recruited a Pakistani doctor to run a vaccination program in the area. The goal was to try to obtain DNA evidence from bin Laden family members, the British newspaper said, citing unnamed Pakistani and U.S. officials.

Any DNA obtained from the people in the compound could then be compared with a sample from bin Laden's sister, who died in Boston in 2010, as evidence the family was in the compound, the newspaper said.

Neighborhood residents told CNN that two women who appeared to be nurses visited homes and offered free vaccinations.

"This was one very small piece of a very large intelligence effort to determine that bin Laden was located at the compound," a senior U.S. official told CNN over the summer.

The vaccination campaign occurred shortly before U.S. forces raided the compound, the senior U.S. official said.

"People need to put this into some perspective," the official added. "The vaccination campaign was part of the hunt for the world's top terrorist, and nothing else. If the United States hadn't shown this kind of creativity, people would be scratching their heads asking why it hadn't used all the tools at its disposal to find bin Laden."

The Pakistan commission's report also said the house where bin Laden lived would be turned over to the city's civilian administration, and that authorities had finished questioning members of bin Laden's family.

That means the commission's restraining order that required the family members to remain in Pakistan during its inquiry can be lifted, Thursday's statement said. The order barred Pakistani authorities from handing over bin Laden's family members to officials in other countries.

The commission is continuing its investigation.-CNN
 
Ami

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
3,160
2,555
Kumbe baadhi ya miradi ya chanjo huwa ina malengo yaliyojificha.Utashangaa eneo lina matatizo tele lakini linaingizwa kwenye chanjo isiyo miguu wala mikono.
 
cartura

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
3,026
786
this is an eye opener...; a lot of similar intelligence gathering operations are probably being conducted on the pretext of helping the poor...
 
Ami

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
3,160
2,555
this is an eye opener...; a lot of similar intelligence gathering operations are probably being conducted on the pretext of helping the poor...
Pamoja na hivyo hawa mbwa wawili Marekani na Pakistan wanabwekeana kuzuga watu kuhusu uwongo wao kuhusiana na Osama.
Hakuna daktari wala nini.Tangu kisa kile kiwaumbue wamekuwa wakikemeana na kujidai kushutumiana kipuuzi.Mambo ya msingi mengi wameshindwa kuyajibu.Wameji.......rshia badala ya kunawa kwa kukaa kimya wamekuwa wakizidi kujitapakaza kinyesi.
Ikiwa ni dokta kweli kwanini akapige dawa za mbu kwenye nyumba za askari kule Abbottabad,si wangepiga askari wenyewe tu.
Wanapojaribu kuzusha mambo kuzuga watu wanasahau kuwa wanatibua mambo mengine mapya.Watu popote duniani watakaposoma habari hii watazidi kuhoji chanjo zinazolazimishwa na serikali zao zisizokuwa na lazima.Mara matende.......mara......
 
Ami

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
3,160
2,555
Huyu anayetajwa kama mhalifu ni daktari,lakini ikiwa ni utoaji chanjo majumbani hufanywa na manesi tu.
Siku walipoingia nyumba ya Osama walimkuta mwenyewe kapumzika pengine kwa mke wake wa Ghorofa ya chini.Ina maana Osama bila kujificha na bila pingamizi akatoa mkono wake ili apatiwe chanjo na pengine katika rekodi za manesi akajitaja kwamba mimi ndiye Osama.Huyu hawezi kuwa ni yule Osama aliyekuwa akiangalia runinga kila siku zilizojaa habari za kutafutwa kwake kwa udi na uvumba akiwa hai au mfu.
Maskini! Marekani na Pakistan wanazidi kudhalilika.
 
Mr.Toyo

JF-Expert Member
Feb 9, 2007
433
117
a lot of similar intelligence gathering operations are probably being conducted on the pretext of helping the poor...

Sana tu.. tena kwa nchi maskini kama Tz ndo kabisa, kuna ma Intelligence kibao wakizuga kutoa misaada ya kila namna along with CIA watchdogs like USAID, SIDO & other international development NGO's.

Unafikiri kuna mtu anaweza kusevu without side advantage? Wanatumia njaa zetu kutekeleza matakwa yao.

Kujulikana kwa hii ishu kumeshtua watu wengi sana na ni pigo kubwa kwa taasisi za misaada ya kimataifa na hasahasa USA, kwani watu wengi hivi sasa hawana confident nazo kabisa.
Bonyeza hapa ujisomee http://www.nytimes.com/2011/07/27/opinion/27iht-edchow27.html?_r=1[h=1]
It's time to wake up.
[/h]
 
Ami

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
3,160
2,555
Sana tu.. tena kwa nchi maskini kama Tz ndo kabisa, kuna ma Intelligence kibao wakizuga kutoa misaada ya kila namna along with CIA watchdogs like USAID, SIDO & other international development NGO's.

Unafikiri kuna mtu anaweza kusevu without side advantage? Wanatumia njaa zetu kutekeleza matakwa yao.

Kujulikana kwa hii ishu kumeshtua watu wengi sana na ni pigo kubwa kwa taasisi za misaada ya kimataifa na hasahasa USA, kwani watu wengi hivi sasa hawana confident nazo kabisa.
Bonyeza hapa ujisomee http://www.nytimes.com/2011/07/27/opinion/27iht-edchow27.html?_r=1
It's time to wake up.
Mr.Toyo huoni kwamba hizi habari ni mzunguko wa pamoja kujaribu kuthibitisha jambo ambalo halikutokea,yaani kuuliwa Bin Laden.
Tukiamini kwamba huyu daktari yupo na alifanya hiyo kazi, moja kwa moja ni kuamini kwamba Marekani ilimuua Osama kwenye nyumba pale Abbottabad..
Hapa mimi bado nasimama na ukweli kwamba Marekani na Pakistan zilifanya igizo kufuta aibu yao kwamba Osama hawakumpata akiwa hai wala akiwa mfu.
http://www.nytimes.com/adx/bin/adx_...-NYT-MOD-MOD-M222a-ROS-1011-PH&WT.mc_ev=click
 
Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,370
4,297
Sana tu.. tena kwa nchi maskini kama Tz ndo kabisa, kuna ma Intelligence kibao wakizuga kutoa misaada ya kila namna along with CIA watchdogs like USAID, SIDO & other international development NGO's.

Unafikiri kuna mtu anaweza kusevu without side advantage? Wanatumia njaa zetu kutekeleza matakwa yao.

Kujulikana kwa hii ishu kumeshtua watu wengi sana na ni pigo kubwa kwa taasisi za misaada ya kimataifa na hasahasa USA, kwani watu wengi hivi sasa hawana confident nazo kabisa.
Bonyeza hapa ujisomee http://www.nytimes.com/2011/07/27/opinion/27iht-edchow27.html?_r=1
It's time to wake up.

Watz tujue kuwa iko siku TZ itafumuliwa kama nchi nyengine.

Wamarekani waliziripua zile balozi zao, Kenya na Tanzania ili wapate visingizio vya kufanya ukuruba wa karibu sana na "viongozi" wa Tanzania. Baada ya hapo tunaelewa nini kimefuatia, military partnership, udhibiti wa terrorism na money loundary, mara kuzuia pirate mission, millenium challenge fund, vyandarua, mkonge wa kupeleka umeme Zanzibar. Na Balozi wa US TZ anaonekana kwenye kila tukio TZ.

Mbali na Hizo taasisi zilizotajwa kuna "peace" corps waliomwagwa TZ....symbion... ziara za mueneza "domokrasia" Clinton na kabla yake Bush.

Tuelewe hakuna cha/ vya bure. Tutafumuliwa, tutafutane.

Dhahabu na almasi yetu, gesi na ugunduzi wa mafuta, uranium.. ni vichocheo tosha vya urafiki(unafiki) na US na West. Siku tutakaposema mali hizi ziwafaidie watz basi ujue tutaletewa "freedom and DOMOcracy" na NTC mpaka magamba yote ya watz yavuke!

Tumeshaonyana!!!
 
  • Thanks
Reactions: Ras

Monstgala

JF-Expert Member
Aug 25, 2009
1,081
1,009
Huyu anayetajwa kama mhalifu ni daktari,lakini ikiwa ni utoaji chanjo majumbani hufanywa na manesi tu.
Siku walipoingia nyumba ya Osama walimkuta mwenyewe kapumzika pengine kwa mke wake wa Ghorofa ya chini.Ina maana Osama bila kujificha na bila pingamizi akatoa mkono wake ili apatiwe chanjo na pengine katika rekodi za manesi akajitaja kwamba mimi ndiye Osama.Huyu hawezi kuwa ni yule Osama aliyekuwa akiangalia runinga kila siku zilizojaa habari za kutafutwa kwake kwa udi na uvumba akiwa hai au mfu.
Maskini! Marekani na Pakistan wanazidi kudhalilika.

We mtu sidhani kama umemaliza hata secondary...
 
Ras

Senior Member
Mar 16, 2007
126
6
Wengine mnamaliza madarasa yote lakini akili zenu bure katika kuwaza,hamuwezi hata kumkaribia Steve Jobs.

Naungana na wewe mkuu, kumaliza madarasa si kigezo cha kuwa na busara ktk maamuzi wengine elimu haiwasaidii kitu zaidi ya kutuletea matatizo. Mimi nimemaliza madarasa mengi tu karibu yote ya hapa duniani lakini naungana na mtoa hoja hapo juu, anafikiria kwa undani.
 
  • Thanks
Reactions: Ami

Ami

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
3,160
2,555
Naungana na wewe mkuu, kumaliza madarasa si kigezo cha kuwa na busara ktk maamuzi wengine elimu haiwasaidii kitu zaidi ya kutuletea matatizo. Mimi nimemaliza madarasa mengi tu karibu yote ya hapa duniani lakini naungana na mtoa hoja hapo juu, anafikiria kwa undani.
Naamini umemaliza madarasa kwa akili yako mwenyewe ndio maana unawaza kama binadamu kamili.Hawa wengine mara nyingi huwa wamenunua vyeti au kuibia mitihani.Ujinga juu ya ujinga.Mtu kama huyo atawezaje kuona viini macho vya Marekani.
Steve Jobs hata College alisoma semester moja tu angalia kazi zake zinavyoufaidisha ulimwengu.Umewahi kusikia mtanzania akavumbua chochote?.
 
  • Thanks
Reactions: Ras

Ras

Senior Member
Mar 16, 2007
126
6
Naamini umemaliza madarasa kwa akili yako mwenyewe ndio maana unawaza kama binadamu kamili.Hawa wengine mara nyingi huwa wamenunua vyeti au kuibia mitihani.Ujinga juu ya ujinga.Mtu kama huyo atawezaje kuona viini macho vya Marekani.
Steve Jobs hata College alisoma semester moja tu angalia kazi zake zinavyoufaidisha ulimwengu.Umewahi kusikia mtanzania akavumbua chochote?.

hata wanaojitahidi kuvumbua wanaangushwa na wajingawajinga wachache ambao wanajiita wasomi na wapo katika nyadhifa zenye maamuzi ktk jamii yetu, badala ya kuwa promote hawa wao huwaponda kwa wivu wa kijinga walonao!! aagh.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom