Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,875
😂🤣😅😆😁😄😃😀Kuna raia watajua aidha Chura Yanga au chura kama chura.!
Nadhan dodoma pia wapo au ni Aina ingine ila wanaumbo kubwa kuliko tuliozoea kuwaonaAnapatikana kidimbwi pia , Jangwani
Na mim nilikuwa namuwaza huyo huyo.Aisee kwel wanataka kufanana fanana.😂Hivi le mutuz alienda wapi nimeuliza tuu[emoji3]
Mwaka huu Yanga wamewanyoosha haswa..!! Hamuishi kuwataja utadhani makolo hawapoKuna raia watajua aidha Chura Yanga au chura kama chura.!
Dah..!!! Ifu yu noo yu nooHivi le mutuz alienda wapi nimeuliza tuu[emoji3]
Kweli mkuu, nishawai kukutana nao maeneo ya Chamwino, alikua mkubwa tofauti na hawa niliozoeaNadhan dodoma pia wapo au ni Aina ingine ila wanaumbo kubwa kuliko tuliozoea kuwaona
yupo uyo chura nipachawakeHivi le mutuz alienda wapi nimeuliza tuu[emoji3]
Mwaka huu Yanga wamewanyoosha haswa..!! Hamuishi kuwataja utadhani makolo hawapo