Chupu chupu niage dunia

Hadi nawasikitikia.

Na nyie mnaanza kufuata nyayo kwa kila kitokeacho kuja kukianika.

Sijaona umuhimu hapo kwan sio kila kitu tunapaswa kujua wanajukwaa.

Ooooh unataka fulana anamhisia mke wake anamsaliti ndo aje aanike humu ndani??? Unidentified ID so usipanick mkuu emmyta
 
Last edited by a moderator:
Hahaha!! Sasa wewe kuku wako manati ya nini?? Ungekufa bureee,ila ndo ungekufa kikondoo!!!!!!
 
ahaaaa itabidi season 2 unimalizie..." baada yakula mweleka mli resume au ilikuwa ndo the END"...???
 
salaleee nishamkosa mteja wa majeneza hapa kibandani kwangu...
 
unge audit kwanza bafu kama liko "free from dirt contaminated and fair washed" then uanze kazi...
 
Mkuu umenivunja mbavu dah
 
unge audit kwanza bafu kama liko " free from dirt contaminated and fairly washed" ndo ungeanza kazi....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…