Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
Raha ya kuvaa msuli ndani kusiwe na kitu. Umesema uko Mombasa? Mambasa ni ndogo lakini usiku ni kubwa
Ujue wanasomea hizo kazi pia!!!!!
Ngoja waje wa kule karibu na Hill park!!!
ndiyo maana huo ukumbi unajaza watu sana, si kwa sababu ya muziki tu, kuona hivyo vitu ni sehemu ya burudani.. Na fahari ya macho haifilisi duka..leo nimeenda dansi live band. Mmoja wa masteji show hakuwa amevaa chupi name mkoba wake ulikuwa unaonekana dhahiri na hivyo kusababisha midume ipagawe.
Mziki ulipoisha nikamsogelea na kumpongeza kwa umahiri wake. Nikamuuliza mbona hujavaa chupi akajibu kuwa tangu akiwa mtoto havai kwani akivaa huwashwa sana. Heee nikakoma mwenyewe. Hii ndio mombasa bwana
Toka akiwa mdogo? Ndo maana shule ikamshinda akapata kazi sawia ya usteji show. Hongera zake.
Mtwapa
Raha ya kuvaa msuli ndani kusiwe na kitu. Umesema uko Mombasa? Mambasa ni ndogo lakini usiku ni kubwa