Angalia kwa makini utaona kuna waya tatu za chuma zimechomwa kwa mkato hivyo siyo rahisi kupita zaidi ya mkojo tu. Ukijidai kuzikata umalize haja zako ujue unamsababishia talaka na sio rakisi kuchoma waya zingine ikiwa imevaliwa. Bahati yao hao waume wa kina mama hao teknology ya utengenezaji funguo ilikuwa haipo.