hapo zamani za kale kulitokea ubishani wa muda mrefu kati ya chupi na socksi nani anapambana na harufu kali,ubishani ulikuwa mkali hadi wakapigana na kuumizana ,eti wanajf hebu tuwaamulie kati ya hawa nani anapaswa kuvishwa crown ya ushindi?
haya haya bwana mkubwa mzee socksi anapokea pointi kumzaidi na mpambano unaendelea,haya haya mchezo mtaaaaaaamu,wapenzi mashabiki mchezo ni mkali kwei kwei
Kinadharia chupi anashavu kubwa la uchafu ila soksi zikivuliwa kama miguu inatoa halufu au hazijafuliwa kitambo mbona watu hawakai. Mie naona soksi ni noma!
haya haya socksi anaendelea kuja kwa kasi ,haya haya haya anakuja anakuja ,tutaonana nani bingwa,haya waungwanna mpira dk 90,ngoja tusikize nani bingwa
Soksi jamani!! Anakanyagwa wee mpaka anatoboka..chupi anadekezwa sana.akipata puncture kidogo tu..anaekwa kando..chupi ndio kapewa umuhimu zaidi ya mpiga chabo.yani ye ndo wakwanza kushuhudia mkianza kungonoana soksi anavuliwa na kuachwa mlangoni kama askari..duh soksi anateseka.mpe pnt zangu banaaa!
mi naona mkali ni chupi kwa baada ya uchafu wote yeye hufuliwa ,lakini soksi hata kufuliwa aka isipokuwa hulaaniwa kwa kutupwa kwenye harufu mbaya (msalani)