Huwa unajisikiaga aibu au hupatagi tu muda wa kwenda kununua.Hadi sasa sijawahi personally kununua hivo vitu....ni either aninunulie mama ama my baby
Huwa unajisikiaga aibu au hupatagi tu muda wa kwenda kununua.
Nimeshagundua umri wako, kumbe bado mbichi kabisa, sasa naanza kuvizia ukitoka tu kwenu nafukuzia nyuma mpaka nihakikishe nimemiliki.😎😎Hadi sasa sijawahi personally kununua hivo vitu....ni either aninunulie mama ama my baby
Japo nafikiri ni more comfortable nikikuta wa kike
Nina umri gani?Nimeshagundua umri wako, kumbe bado mbichi kabisa, sasa naanza kuvizia ukitoka tu kwenu nafukuzia nyuma mpaka nihakikishe nimemiliki.😎😎
Under 18Nina umri gani?
Ok let me guess againSio kweli
Umekosa
Ok let me guess again
Between 20 and 25
Basi utakua 26 kama na hapo nimekosea utakua unatuongopea tu,with that age bado mama anakufanyia shopping ya kufuli?Hahahahahh afadhali sa hivi umekuja kuja kidogo
Basi utakua 26 kama na hapo nimekosea utakua unatuongopea tu,with that age bado mama anakufanyia shopping ya kufuli?
Hadi sasa sijawahi personally kununua hivo vitu....ni either aninunulie mama ama my baby
Japo nafikiri ni more comfortable nikikuta wa kike
@cute b nimekumiss mdogo wanguMwekezaji mwenye kiwanda cha kuuza vifuniko vya asali Kaboom uje utupe uzoefu.
Raha ya hii uwauzie wateja wa oposite gender. Many yrs back Kuna mteja alinunua akawa ana wasiwasi kama zitamfiti. Nikamwambia chukua namba zangu zisipo fit tutajua cha kufanya. Alipofika bada ya kujaribu akatoa mrejesho. Nikamwambia anitumie picha nione jinsi zilivyo mkaa vema. Stori ikaanzia hapo.