Zipo za aina 2 kwanza,
1. Za cotton
2. Za mpira
Nakushauri chujua za cotton.
Pia zipo za elfu moja, 2, 3, 4, 5, 6, 7 mpaka za elfu 15, hapo sasa times dozen yaani 12.
Kuna duka moja k. Koo ukinunua yaani wenyewe unachanganya bei tofauti tofauti then kwenye hesabu wanakupa discount nimesahau mtaa tu.