Chupi Dozen za Wanawake

Chupi Dozen za Wanawake

Kuna za elfu10, 12, 16, 18, mpaka Malaki huko inategemeana unataka vyupi vya aina ipi sasa mi naziuza karibu
 
Zipo za aina 2 kwanza,
1. Za cotton
2. Za mpira
Nakushauri chujua za cotton.
Pia zipo za elfu moja, 2, 3, 4, 5, 6, 7 mpaka za elfu 15, hapo sasa times dozen yaani 12.
Kuna duka moja k. Koo ukinunua yaani wenyewe unachanganya bei tofauti tofauti then kwenye hesabu wanakupa discount nimesahau mtaa tu.
 
inategemea mkuu.kuna chupi hadi za buku
kuna chupi hadi million wewe tu na mpenzi wako.ila unakuaje na mpenzi anaevaa chupi?
namshangaaa..siku hizi hata wamama hawavai..wanapenda kaupepo huko chini..akishindwa sana ni bikini na sio chupi
 
sema umeombwa hela kubwa umeambiwa ya kununua chupi dozen mzee jikazeeew
 
Hivi chupi bado zipo kweli.maana mi kila demu nayemchojoa nakuta anaboksa kama yangu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hivi chupi bado zipo kweli.maana mi kila demu nayemchojoa nakuta anaboksa kama yangu

Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kitu kizuri kina gharama, hivyo kuhakikisha unanunua kiyu chenye ubora andaa hela ya kutosha kulingana na uwezo wako
 
hata elf 10 unapata nishakuambia inategemea mkuu. kuhusu mimi sivai ya millioni wala ya buku.sivai chupi kabisa zina magonjwa
Tupiamo kapicha tuhakiki usijekuwa unatudanganya[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Kuna dem kasema havai chupi humu na kashangaa swala la kuvaa chupi kwa mwanamke!!

Swali, anavaa nn?
 
Back
Top Bottom