Chupa mpya mvinyo wa zamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chupa mpya mvinyo wa zamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AMARIDONG, Apr 12, 2011.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  ETI JK ANAWATANGAZIA WAKUU WAPYA WA CHAMA HICHO KUWA HATAKI KUPOKEA MSG ZA OOOOOH MKUUU WAMETUTUKANA,WAKIWATUKANA NA NYIE WATUKANENI,TUMESHAZUNGUMZA HAYA NA SINA HAJA YA KUYARUDIAA

  HII NI CHUPA MPYA YENYE MVINYO ULE ULE

  CCM YA MAFISADI BADO IPO PALE PALE WALICHOFANYA NI KUWAONDOA MSTARI WA MBELE NA KUWAACHA WAKAE NYUMA ILI WALE NYUMA YA PAZIA VIZURI NA KWA KUJIPENDELEA ZAIDI

  kuweni macha watz hiki chama hakina nia njema na watz at all
   
Loading...