CHUO KWELI BATA

Hahahah shida mkuu hujanielew mi nilitarajia kukuta chuo hakuna msuli kivioe kwa maana watu walikuw wanasema bata ila badala yake naona msuli ni zaid ya advance
 
Hatari kweli
 
Chuo bata lake lipo kwenye uhuru wakujiamulia bhana mi sekondari kiukweli kuamuliwa kila kitu ndo kunanichosha yaani wakati wakusoma nipangiwe wakati wakula unapangiwa umechoka saa moja badala ulale unatakiwa prepo darasani unakaa kwa uchovu mambo hayapandi, muda wote upo darasani haijalishi mwalimu yupo au hayupo
 
Ooh hapo nimekupata mkuu
 
Wanaposema chuoni bata wanamanisha wanawake au totoz kali.
NB: Uangalie sana kwani UKIMWI ni nje nje sio wote utakao anza nao hapo utamaliza nao salama. Kula kistaarabu kwa condom halafu angalia usisup au ku disco.
 
Wanasema chuo bata kwa wale ambao ndio mala ya kwanza wanapata uhuru wa kufanya lolote atakalo alipokwenda chuo, mbali na wazazi,
Lakini asikwambie mtu ukifanya mengine chuo na ukasahau kitabu utajutaaaa. Hasa kwa vyuo vya enginner na medicine
 
Eheee si akipata Boom lile la mwanzo ambalo lina stationary ukijumlisha kama Dr Shika Flani hivi 900k inapendeza.....Bata la siku mbili unaweza ukakata panga kama 300k hivi sio mbaya kwa BATA.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hata wanaosoma kozi za afya hiyo hela hawapati mkuu wengi ni 720K na ukiunguza 300K kwa siku tatu lazima ule ushindie mihogo

Kozi za Afya kwa sasa.

8500/= per day, kwa semister ni 650,000/=

Stationery ni 200,000/=

Total ni 850,000/=.

Pia kuna Special faculty hasa kuanzia mwaka wa 2 na kuendelea ambayo inategemeana na kozi na mwaka wa masomo

Hapo ni mwanzo wa mwaka tu.
 
Mzazi hatambui hilo anataka ufaulu tuuuu hatariiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…