CHUO KWELI BATA

Nani kasema chuo hakuna bata...!?? Bata unakula na maisha yanaendelea!!

Ukiwa na akili za kushikiliwa utaona chuo kigumu
 
Acha uoga......mbona bata zipo sana tu
Nimesoma comments lakini sijaelewa kitu mahala. Kwani vijana wanaosoma wakila bata wanakuwaje? kama ni tatizo si wale hata kuku au bata mzinga!! au ni lazima vijana wale bata tu wakiwa wanasoma? au huko mijini bata ni wengi kuliko kuku. Kwa kweli bado najiuliza.
 
Wala bata chuoni asilimia kubwa wachezea sapu!
We kula bata tu uchezee sapu na Cary za kutosha!!!
 
utaelewa tuu wakati ukifika
 
Bata ni neno linalotumika kujumuisha starehe aina yoyote ile
Mkuu asante sana kwa ufafanuzi, kama ni hivyo basi suala ni kubalance starehe kidogo na muda mwingi uwe wa masomo.
 
Bata lake maana yake mnatembea km mabata adi darasani.. humanities ad chimwaga na kutembea kuchota maji kisimani.hahaha[emoji3] Bata lake labda kuvaa Lile joho
 
yani una wiki tatu tu chuoni unaanza sema kisomo cha chuo kigumu we nazani ushazoea kusoma tuition ndio maana unaona chuo kigumu

pangilia mambo yako vizuri utafanya vyema ila usiamini et kusoma sana kama umepanic vile ndio itakusaidia kukwepa sup na disco hiyo hapana
 
Dogo piga shule ila weekend mara moja moja uwe unaenda kula bata
 
Mara ya mwisho kusoma tuition nilikuwa kidato cha 3
 
Hii ni kozi ambayo utakua unasoka kila siku hata baada ya kumaliza chuo.

Leo php imepitwa na wakati itakubidi usome javascript na node js ili uendane na kasi ya soko.
Kwa hyo ni kozi ambayo maisha yote lazima uwe unasoma ili kuendana na vitu vipya
 
Mara ya mwisho kusoma tuition nilikuwa kidato cha 3
sasa kama ndio hivyo kwanini sasa chuo uone kigumu yani kwa mtu ambaye ashazoea kujisomea mwenyewe mambo mengi chuo hakumshindi na awezilialia kama wewe hali hiyo unasoma software engineering vipi ungesoma mechanical engineering si ungesharudi wewe..... kwanza course yenyewe ushaambiwa ni "soft" ware engineering sasa itakuwaje hard
 
Kikubwa nidhamu ya mda ,,wakati wa shule piga shule mda wa kupumzika pumzika ,,,unaweza kaza sana ukaishia kupanik ,,,,ha ha haaa nakumbuka jamaa angu alikaza sana ikafika mda wa kupresent machief wakamvyonya akaanza kulia mbele ya mgonjwa ,,,salute kwa medical school
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…