CHUO KWELI BATA

Eheee si akipata Boom lile la mwanzo ambalo lina stationary ukijumlisha kama Dr Shika Flani hivi 900k inapendeza.....Bata la siku mbili unaweza ukakata panga kama 300k hivi sio mbaya kwa BATA.
Hata wanaosoma kozi za afya hiyo hela hawapati mkuu wengi ni 720K na ukiunguza 300K kwa siku tatu lazima ule ushindie mihogo
 
Engineering sio kozi za kulia bata hizo waachie kina HRM ,MSD na GENDERna n.k

pambama mzee kama unataka kula bata nunua bata wako uwe unapika home kwenu
 
kama unataka kula bata nunua bata wako uwe unapika home kwenu
Engineering sio kozi za kulia bata hizo waachie kina HRM ,MSD na GENDERna n.k

pambama mzee kama unataka kula bata nunua bata wako uwe unapika home kwenu
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…