Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 1,002
- 1,004
toka nikiwa o level huu ndio msemo maarufu wa wanafunz was vyuoni, basi na mm nikaingia nikijua chuo bata, but within 3 weeks sijaona bata zaidi nawaza kuongez msuli zaidi ya advance.
Hebu mliokuwa mkisema bata mnifafanulie pengine mm ndio nilikuwa sielewi[/QUOTE
software engineeringUnasomea nn mkuu?
software engineering
Ok bata zipo pia ni wewe tu na timetable yako,ujue unachokifanya na unachokitakasoftware engineering
Kweli mkuu maana hata disco nilizozikuta ni watu wengi kwa mwaka huuWewe sahau bata maisha yako yote sio hapo chuoni tu
Ya Rucu au Udom?software engineering
Udom mkuuYa Rucu au Udom?
hahahah nimekuelewa mkuuCHuo bata wewe,Ukikamata Boom nenda Samaki Samaki au Next Door kanywe balalee na henessy kamata mtoto kisha nenda Logji au Apartment yeoyte kaa siku mbili ijuma/jumasi/je2 unageuza chuo hilo ndio bata mkuu.
🤣🤣🤣🤣 Acha kupoteza madogoCHuo bata wewe,Ukikamata Boom nenda Samaki Samaki au Next Door kanywe balalee na henessy kamata mtoto kisha nenda Logji au Apartment yeoyte kaa siku mbili ijuma/jumasi/je2 unageuza chuo hilo ndio bata mkuu.
Kwa hyo bata ni kwa watu wa educationkuna kozi za bata.. wenzako udbs pale tumesoma marketing.. tunawaza billcanas tu enzi hizo...
ila usome engineering uwaze bata.. wanakula kichwa
Udom huwa wanaliwa vichwa sana apo komaaa kijanaUdom mkuu
Boom tu afanyie yote haya mkuu?CHuo bata wewe,Ukikamata Boom nenda Samaki Samaki au Next Door kanywe balalee na henessy kamata mtoto kisha nenda Logji au Apartment yeoyte kaa siku mbili ijuma/jumasi/je2 unageuza chuo hilo ndio bata mkuu.
sawa brotherUdom huwa wanaliwa vichwa sana apo komaaa kijana
Boom wanapegawa 3million nini??CHuo bata wewe,Ukikamata Boom nenda Samaki Samaki au Next Door kanywe balalee na henessy kamata mtoto kisha nenda Logji au Apartment yeoyte kaa siku mbili ijuma/jumasi/je2 unageuza chuo hilo ndio bata mkuu.
Kwa hyo bata ni kwa watu wa education
Udom mkuu
OK sawa nimekuelewasio education.. mfano mimi nimesoma b com marketing udsm.. course haikuwa ngumu nisile bata