Chuo kufanya confirmation bila ridhaa ya mwanafunzi mwenye multiple selection

dtov

Member
Jun 22, 2014
28
8
Habari wana jf
Nina mdogo wangu amechaguliwa UDSM na UDOM second round,kilichotokea ni kwamba mara baada ya kuchaguliwa UDSM walionekana kufanya confirmation bila taarifa kwa mwanafunzi,tulipoona vile tuliwasiliana na UDSM kwa kiwatumia email na kiwapigia simu wakafanikiwa ku unconfirm.katika kusubiri code za tcu UDSM wakawa wame confirm tena huku mwanafunzi hajapata code kutoka tcu tukawasiliana nao wakamtoa tena ,,tukauliza kama mnafanya confirmation ina maana code si mnazo mtupe ili tu confirm UDOM ambako anataka akasone dogo,wakasema wao hufanya confirmation bila code kutoka tcu kwahiyo hawana hizo code tuzisubiri kutoka tcu..Baada ya siku mbili tena wakafanya confirmation bila code UDSM,kiukweli dogo alipanic na kuwasiliana nao wamtoe wakawa wanasema kila siku tutakutoa tuna kazi nyingi kwa sasa.na ku unconfirm wanataka code from tcu,asa kufikia leo saa kumi jion code zikawa zimetumwa kutoka tcu,dogo kuweka code zile udsm ili ku unconfirm wanadai code sio zake hawezi ku uconfirm na UDOM anashindwa ku confirm maan bado hajatoa udahili UDSM.
Kizuri zaidi mawasiliano ya simu ya UDSM na mwanafunzi yamerekodiwa kwanzia awamu ya kwanza hadi leo hii.naomba msaada wana jf dogo afanye nn na anataka asome UDOM si UDSM
 
Dogo aliweka code Udsm huko ni kufanya confirmation ndugu , kwan ku unconfirm lazima uweke code kwenye system ya chuo.
 
Dogo aliweka code Udsm huko ni kufanya confirmation ndugu , kwan ku unconfirm lazima uweke code kwenye system ya chuo.
Wameconfirm kabla dogo hajapata code kutoka tcu.na ku uncofirm wanazungusha akiweka code kutoka tcu ili ku unconfirm mwenyewe anaambiwa code si sahihi wakati ni copying and pasting ambayo ni uhakika hajakosea nakili code
 
Hiyo code aliyopata angeitumia kuingiza udom sio tena kwenda kuweka udsm
 
Yeye afanye confirmation kama anataka kwenda udom swala la yeye kutumiwa code inamaana kwamba anahitajika kufanya hivyo , kama inawezekana kufanya confirmation udom fanya ni rahisi hivyo kuliko kusubili udsm hawawez kufanya hilo
 
Saw mkuu
Yeye afanye confirmation kama anataka kwenda udom swala la yeye kutumiwa code inamaana kwamba anahitajika kufanya hivyo , kama inawezekana kufanya confirmation udom fanya ni rahisi hivyo kuliko kusubili udsm hawawez kufanya hilo
 
Back
Top Bottom