La kwanza liliCompose na PlanningMimi nina imani hili jina jipya ni zuli na lina market kuliko la mwanzo
Haya maisha kila mtu anavutia kwake. Kiukweli hio ya kwanza ilikuwa na components mbili general management + general project planning. Hio ya pili inafocus tu kwenye management ya community development na sio kwa mambo mengine. Manake, ya kwanza, ilikuwa imecontain hii mpya.. kwa hio wame-prune degree kwa kiasi kikubwa ila sasa wanasema kuna soko.. ila wanavutia tu kwao. Very interesting indeed..Kwamba mliambiwa hiyo NI NZURI SANA SOKONI, safi sana.
Uko vzuri brooHaya maisha kila mtu anavutia kwake. Kiukweli hio ya kwanza ilikuwa na components mbili general management + general project planning. Hio ya pili inafocus tu kwenye management ya community development na sio kwa mambo mengine. Manake, ya kwanza, ilikuwa imecontain hii mpya.. kwa hio wame-prune degree kwa kiasi kikubwa ila sasa wanasema kuna soko.. ila wanavutia tu kwao. Very interesting indeed..
La kwanza liliCompose na Planning
La pili inaondoa Planning
Na kwa nn ukatishe mmataba wang
Me nmekuja soma Planning and Management
Wewe unaniletea Management ppekee
Mbona vyuo vingne havna huo utaratibu wakubadilisha Koz za watu,
Somo hapo juu lahusika
Naomba kujua kama kuna chuo kilishawahi kubadilisha Kozi Iliyodahili awali na mwaka wa pili wa masomo kuibadili wanafunzi wakiwa wanaendelea
Hii imetokea Tengeru Institute of Community Development-Arusha (TICD)
2020/2021 Ilidahili wanafunzi wa Bachelor Degree in Participatory Project Planning and Management (BPPM), wakasoma na kumaliza mwaka wa kwanza.
Walipoanza mwaka wa pili mwishoni mwa semester ya kwanza wakashangaa wanatambulishwa (kwenye Maombi ya Apprenticeship) kama wanafunzi wa Bachelor Degree in Project Management for Community Development (BPMCD)
Hii ilizua taharuki sana, walipofatwa uongozi walitetea hiyo PMCD ni nzuri sana sokoni kuliko hyo PPM, wanafunzi hawakuwaelewa kwan hata hawakushirikishwa kwa chochote. Matokeo yake walipoona hawaelewek wakaanza kutumia ubabe na vitisho
Lakin pia wakaja na hitimisho zingne kwa asiyeridhia afanyiwe Transfer kwenda chuo kinachotoa koz sawa na hiyo
Chakujiuliza
1. Je, huu ni utaratibu wa kawaida katika vyuo kubadili kozi kwa wanafunzi wanaoendelea na kutakiwa kusoma hiyo mpya?
2. Je, hii yakufanyia Transfer wanafunzi inawezekana kweli? (Maana wanawatega kwa majina wanaotaka hzo Transfer, cjui ndio wawaDisco).
3. Msaada wa Ushaur Namna Bora Kusolve hili Maana Kuna Walioharibiwa Future Mpaka muda huu
Mkuu unajua Dunia ya sasa ni ya ushindani... Na specialisation matters a lot. Hakuna chuo chenye lengo la kuwaharibia wanafunzi wake... Vyuo vinapenda wanafunzi wafanikiwe na vyenyewe vijitangaze so nafkr hayo ni matokeo ya tafiti walizofanya kweny soko la ajira Sema hawakuwaelewesha vizur. Nilisomaga hapo miaka ya nyuma ilitutokea issue km hiyo. Tulidahiliwa course ya BACHELOR OF COMMUNITY DEVELOPMENT WIH BIAS OF MANAGEMENT OF COMMUNITY PROGRAMMES. Tulipofika second year km yenu ndio wakaja na huo mtaala wanaoubadilisha Sasa... Tukaambiwa vyeti vitasomeka BACHELOR OF COMMUNITY DEVELOPMENT. Tuliulizia tukajibiwa km nyie... Lkn hatukuleta sana ujuaji tukaona tuwaachie wao coz tuliamini wanajua wanachokifanya... Na kweli baada ya kuhitimu tulivyoingia makazini tuliwaelewa. "SPECIALISATION MATTERS" Wishing u all the bestSomo hapo juu lahusika