Kuna miti miti mingi sana (inaitwa miti ulaya ...maalufu kwaajili ya maeneo ambayo ni water-logged areas / swampy areas
Kimepakana na shule ya Highlands....na opposite yake kuan uzio wa uwanja wa kanisa katoliki Kihesa.
Ni mjini kabisa....uta papenda sana .....mabweni yake ni ya ghrofa ila zile zilizojengwa kitambo enzi za mwalimu.
kukata kuni kama kawaida na kuvaa uniform kila unapokuwa chuoni au unapoenda mtaaani.
Jirani kuna watoto wakali wa Iringa girls na Lugalo sec.....kaazi ni kwako tu.