W Wonder Senior Member Joined Apr 20, 2013 Posts 166 Reaction score 47 Apr 21, 2013 #1 Jaman wana jamvi msaada wenu plz naomba yeyote mwenye kujua chuo kinachotoa koz hiyo hp juu anijulishe plz nataka nikaongeze maujuz kidogo labda angalau 2naweza kunyakuliwa,natanguliza shukrani.
Jaman wana jamvi msaada wenu plz naomba yeyote mwenye kujua chuo kinachotoa koz hiyo hp juu anijulishe plz nataka nikaongeze maujuz kidogo labda angalau 2naweza kunyakuliwa,natanguliza shukrani.
J John W. Mlacha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2007 Posts 3,504 Reaction score 1,342 Apr 21, 2013 #2 Kunyakuliwa kwenda wapi?
W Wonder Senior Member Joined Apr 20, 2013 Posts 166 Reaction score 47 Apr 21, 2013 Thread starter #3 kunyakuliwa kwenda ktk ulimwengu wa kazi.
D deprettyG Member Joined Mar 11, 2013 Posts 42 Reaction score 2 Apr 21, 2013 #4 nenda eagle wings!k/koo!
W Wonder Senior Member Joined Apr 20, 2013 Posts 166 Reaction score 47 Apr 21, 2013 Thread starter #5 asante.
KennedyMmari JF-Expert Member Joined Dec 12, 2012 Posts 979 Reaction score 188 Apr 21, 2013 #6 Kaka...chuo kizuri kuliko vyote ni Mackair travel academy na amadeus...fuatilia hivyo hutojutia...pia ada zake sio haba
Kaka...chuo kizuri kuliko vyote ni Mackair travel academy na amadeus...fuatilia hivyo hutojutia...pia ada zake sio haba
W Wonder Senior Member Joined Apr 20, 2013 Posts 166 Reaction score 47 Apr 21, 2013 Thread starter #7 asante@kdm naomba direction ya hvyo vyuo bac nikapate kuwaona its urgent!.
M MKALIKENYA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,196 Reaction score 486 Apr 22, 2013 #8 Wewe kama ni mtoto wa kiume una safari ndefu badilika.
W Wonder Senior Member Joined Apr 20, 2013 Posts 166 Reaction score 47 Apr 22, 2013 Thread starter #9 Kwnn?@MKALIKENYA.