CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI

CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI

ween

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
414
Reaction score
130
Wakuu nawaomben msichoke kuendelea kunitolea ufafanuz juu ya maswali hya.
Ninaomba mwenye kujua chuo hiki huwa kinatoa koz zip na zip anieleze kama kimesajiriwa kwa uhakika
 
Acha kujifanya mtaalam kumbe ushamba... Angalia undergraduate guidebook kuanzia 2011 chuo kipo kwenye kitabu we unauliza leo
 
Sasa mbona siwaelew nieleweshen vizur
 
Usipoacha uvivu wa kufikiri, masomo yatakushinda! Muda uliotumia humu unazidi ule ambao ungeingia TCU!
 
Asante n kwa mawazo mwenye tofaut na hayo plz
 
Wakuu nawaomben msichoke kuendelea kunitolea ufafanuz juu ya maswali hya.
Ninaomba mwenye kujua chuo hiki huwa kinatoa koz zip na zip anieleze kama kimesajiriwa kwa uhakika
Mkuu ween angalia hapa chini course zilizopo
uploadfromtaptalk1469102919374.png
uploadfromtaptalk1469102926838.png
uploadfromtaptalk1469102936302.png
 
Back
Top Bottom