Chuo Kikuu TECU,KIMENUKAAAA...

Status
Not open for further replies.

Godwishes

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
640
165
Wakuu,nazipata huku niliko,Eti kuna Lecturer na wamefanyiwa vitendo visivyofaa kisa ni kufelisha wanachuo kwa makusudi.Poleni sana wahusika na hayo.
 
Zamani walifanyiwa walimu wa ngazi za chini, sasa vihiyo wamefika Elimu ya juu na kuendeleza uhuni. Hii ni hatari sana..
 
TECU ndio nini?? Kajipange uje na habari kamili.halafu tumia lugha nzuri hapa sio Global publishers.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…