Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

jaman kuna jamaa zangu alifanya sec round udom bach of science with physics ila selection zilivyotoka hawamo na kwenye hyo program kuna watu 37 tu!! sasa kuna sehem kuna majina mengine au watatoa tena majina?
 
wawe na subira sec batch inawahusu mkuu
 
Hao second round yanatoka lini? Mana wengine tumeshakuwa frustrated

Mkuu naskia kwa sisi second round wote tumetupwa kwenye chuo kikuu kipya cha Chief Marando kilichopo pembeni kidogo mwa mji wa mpanda, dah! Tcu hawafai mkuu.
 
Back
Top Bottom