Aisee dogo, sisi tunasema kwa nini JK aioni ovu ya Mlacha huko UDOM !!! Kwanza huyo Mlacha imewenekana kwa yeye na JK wemeoa nyumba moja kwa hivyo jK anamfunika uchafu wake which will cost him badly.
Miaka miwili au mitatu iliopita, kuna fumigation imefanyika huko kwenye nyumba za walimu wa UDOM ambae Mlacha amelipia hawa fumigation company million mia moja ambae ni hewa.
Yapili natadharia walimu wote wanao fanyakazi UDOM kuweka barua yao ya uwajiri vizuri na miaka wameingia UDOM kufundisha. Yani huko UDOM, Mlacha anakula sana pesa za walimu huko wengine ajira ina andikwa faki kwa wameajiriwa karibuni wakati wameajiriwa na kwepo miaka mengi. Dhalili zingine ni mchango mengine inaotolewa kwenye mshahara ya hawa wafanyakazi azijulikani zinaenda wapi. Kwa kweli tumechoka na huyo Mlacha kwanza yeye hatakiwi kwepo kwa sababu his profession does not allow him to hold the position he is holding. We want JK to take him out of UDOM. Kama kazi ya undugu amweke ofisini kwake au nyumbani wake. Mlacha is not wanted at UDOM na UDOM sio zake asiendeshe Chuo kama zake. Tunataka Auditing iingilie majira ya wafanyakazi ya UDOM kujua ukweli. Asifunikwe na Mustafa Mkulo.

hakuna njia ya kuexpress vews zako kwa sasa bongo zaidi ya kugoma au kuandamana kaka! Hata mfanye nin hamtasikilizwa,gomeni au muandamane wawapige mabomu at last watadeal na hoja zenu!
Aisee dogo, sisi tunasema kwa nini JK aioni ovu ya Mlacha huko UDOM !!! Kwanza huyo Mlacha imewenekana kwa yeye na JK wemeoa nyumba moja kwa hivyo jK anamfunika uchafu wake which will cost him badly.
Miaka miwili au mitatu iliopita, kuna fumigation imefanyika huko kwenye nyumba za walimu wa UDOM ambae Mlacha amelipia hawa fumigation company million mia moja ambae ni hewa.
Yapili natadharia walimu wote wanao fanyakazi UDOM kuweka barua yao ya uwajiri vizuri na miaka wameingia UDOM kufundisha. Yani huko UDOM, Mlacha anakula sana pesa za walimu huko wengine ajira ina andikwa faki kwa wameajiriwa karibuni wakati wameajiriwa na kwepo miaka mengi. Dhalili zingine ni mchango mengine inaotolewa kwenye mshahara ya hawa wafanyakazi azijulikani zinaenda wapi. Kwa kweli tumechoka na huyo Mlacha kwanza yeye hatakiwi kwepo kwa sababu his profession does not allow him to hold the position he is holding. We want JK to take him out of UDOM. Kama kazi ya undugu amweke ofisini kwake au nyumbani wake. Mlacha is not wanted at UDOM na UDOM sio zake asiendeshe Chuo kama zake. Tunataka Auditing iingilie majira ya wafanyakazi ya UDOM kujua ukweli. Asifunikwe na Mustafa Mkulo.
Mbona umechemka rafiki yangu? Lugha yenyewe ulotumia ni kichefuchefu kitupu!! Halafu inaonesha huna data za kutosha kuhusu UDOM. Wewe kwa namna ulivyo frame message yako inaonesha wala hutoki jumuia ya UDOM (i mean sio mwalimu, mfanyakazi mwendeshaji wala mwanafunzi). Na km unatoka UDOM hufai kabisa kuwepo mahala hapo maana jumuia ya UDOM haiwezi kuwa na watu wasiojua kujieleza kiasi hicho.
Cha pili, sio kweli kwamba Mlacha anakula pesa za walimu. Mfanyakazi anapoajiriwa anapewa offer letter ya kuonesha mshahara atakaokuwa analipwa na copy inaenda hazina, so hazina hawawezi leta UDOM mshahara tofauti na uliopo kwenye offer letter, na wala mfanyakazi hawzi lipwa mshahara tofauti na uliopo kwenye offer letter. Mlacha ataibaje pesa ya mwalimu hapo?
Tatu hakuna michango inayokatwa ktk mshahara wa mfanyakazi ambayo haijulikani inapoenda. Mfanyakazi wa UDOM kwa sasa anakatwa Mfuko wa hifadhi ya jamii na PAYE( ambao ni kawaida kwa mwajiriwa yyte popote) na mchango wa chama cha wafanyakazi (ambao ni hiari kwa mfanyakazi kujiunga na kuchangia).
Hoja zako nyingine nashindwa kuzijibu kwa kuwa hazieleweki ulikuwa unamaanisha nini!!!.
Kuhusu profession ya Mlacha kutoruhusu, hiyo ni non sense kwa kuwa Mlacha alichaguliwa na kamati maalumu iliyokuwa inatambua vigezo anavyotakiwa kuwa navyo makamu mkuu wa chuo( Mipango, fedha na utawala). Na alionekana anavigezo vyote.
Kwa kifupi ndugu yangu huna hoja ya msingi hapo inaelekea unatawaliwa na chuki binafsi na Prof. Mlacha
Lugha iliyotumika kufikisha ujumbe ni mbovu sana.
Mkuu chamsingi umeelewa tena sana tu ndo maana umejaribu kujibu hoja!
Lakini kumbuka ni kaguzi ngapi zinafanywa ofisi ya Audotor General na utumbo/uovu unafunikwa na baadaye kuumbuliwa. Me nadhana tuendelee kupeana habari na wenye kuzifanyia kazi wafanyie!