CHUO KIKUU CHA MAJAMBAZI na WACHAWI

siansakala

Member
Aug 12, 2012
75
10
vp wapendwa wangu....leo nawaulizeni ni chuo kipi kinachoongoza
kwa kuibiana vitu kama LAPTOP,,VIFO VYA GHAFLA na mambo
mengine yanayofanana na hayo hapa AFRICA?????//
 
Mh..!! We jamaa umefikiria nini? Mpaka ukauliza hivyo.
 
vp wapendwa wangu....leo nawaulizeni ni chuo kipi kinachoongoza
kwa kuibiana vitu kama LAPTOP,,VIFO VYA GHAFLA na mambo
mengine yanayofanana na hayo hapa AFRICA?????//

Lazima kuna kimoja unachokijua, kitaje tu
 
Vyuo vikuu vyote tanzania ladba D.I.T ndo hawana hizo mambo,ukianza uzinzi vyuo vya dini ndo vinaongoza,udom usiseme wanajeshi wa ma..........pola wanajichukulia tu kama wameoa tatizo njaaaaaaaaaaaaaaaa na tamaaa,udsm nako mambo yaleyale,ifma the same so hakuna kinachoongoaza otherwise ufanye research kali kidogo
 
vp wapendwa wangu....leo nawaulizeni ni chuo kipi kinachoongoza
kwa kuibiana vitu kama LAPTOP,,VIFO VYA GHAFLA na mambo
mengine yanayofanana na hayo hapa AFRICA?????//

Wewe utakuwa ni mtaalamu wa kwa kuiba vitu kama LAPTOP,,KUUA WATU GHAFLA sasa unatafuta wenzako ukaendeleze fani.
 
Back
Top Bottom