Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 536
- 877
Swali lako la kipuuzi, Mbona hujauliza wale wanaoweka bendera za Palestina, USA, SAUD ARABIA, QATAR etcKuna taarifa kwamba chuo kikuu maarufu duniani kinashutumiwa kuchochea vurugu dhidi ya wayahudi.
Na swali kwann gwajima ameweka bendera ya Israel nyumbani kwake?
Swali la kijinga hilo, nahisi umelipatia kwenye vijiwe vya AkhasusiKuna taarifa kwamba chuo kikuu maarufu duniani kinashutumiwa kuchochea vurugu dhidi ya wayahudi.
Na swali kwann gwajima ameweka bendera ya Israel nyumbani kwake?
Na swali kwann gwajima ameweka bendera ya Israel nyumbani kwake?
Kwa sababu Samia ni mama yetu,na tunamjua, wewe yesu ulimuona wapi. Si Bora niweke picha ya simba kwa kuwa ni mnyama na tunamuonaKwa sababu Yesu alizaliwa Israel na kwanini mnaweza picha ya Samia maofisini?
Kuna taarifa kwamba chuo kikuu maarufu duniani kinashutumiwa kuchochea vurugu dhidi ya wayahudi.
Na swali kwann gwajima ameweka bendera ya Israel nyumbani kwake?
Huyu ni mama Abdul acha kushobokea mama wawenzioKwa sababu Samia ni mama yetu,na tunamjua, wewe yesu ulimuona wapi. Si Bora niweke picha ya simba kwa kuwa ni mnyama na tunamuona
Atakuwa mwana IsraelSwali lako la kipuuzi, Mbona hujauliza wale wanaoweka bendera za Palestina, USA, SAUD ARABIA, QATAR etc
Sasa kwenye nyumba ya Gwajima nako tuingilie uhuru wake kweli? Wengine si wameweka hirizi? Hilo limekaaje? Gwajima angekua kaweka benders hiyo ofisi ya bunge hapo tungekua na jambo nae, nyumbani kwake, hapana.Kuna taarifa kwamba chuo kikuu maarufu duniani kinashutumiwa kuchochea vurugu dhidi ya wayahudi.
Na swali kwann gwajima ameweka bendera ya Israel nyumbani kwake?
1. MamaKwa sababu Samia ni mama yetu,na tunamjua, wewe yesu ulimuona wapi. Si Bora niweke picha ya simba kwa kuwa ni mnyama na tunamuona
Kawaida wengi pia wameweka ndani ya magari yao .Na swali kwann gwajima ameweka bendera ya Israel nyumbani kwake?