tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 282
Mishahara hewa mbona sio news kwa TZ!!!
ni vyema ushahidi uwekwe hapa ikiwa ni pamoja na majina ya wallioacha kazi lakini bado wanalipwa mishahara na wanaopokea
Mkuu naona umepotelea Chumbuni-Zanzibar.................................
tatanyengoNi kweli tumisikia hiki chuo kinamabo ya udini pia.
Prof.Mlacha na Prof.Kikula wote ni sumu kwa maendeleo ya chuo.
Ni wasomi sawa ila sio viongozi ni vema serikali mkatofautisha uongozi na usomi
LWLNLW