Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hali bado ni tete. Options | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hali bado ni tete. Options

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by OgwaluMapesa, Dec 12, 2011.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Inaelekea hali ya Wanafunzi wa Chou kikuu cha Dar Es Salaam bado ni tete kutokana na habari kuwa sasa hivi wameanza kufanya maandamano wakiwa wanatokea maeneo ya kitivo cha sheria. Haijafahamika kama maandamano hayo yamepangwa kuelekea wapi ila kwa walio karibu na wenye taarifa watujulishe hali ilivyo
   
 2. s

  semako Senior Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Andika habari iliyokamilika sawa dogo
   
Loading...