Chuo kikuu boys na girls

Chuo kikuu boys na girls

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,251
Reaction score
11,926
Natamani kue na chuo kikuu boys ama cha girls......Masha yangekuaje wana jf
 
Natamani kue na chuo kikuu boys ama cha girls......Masha yangekuaje wana jf

Maisha yatakuwa kama kawaida tu. Hakuna kitu cha ajabu. Mbona zipo shule za msingi na sekondari za jinsia moja tu umejiuliza maisha yakoje? Kama huna jambo la kuposti tulia ili upate kitu cha maana cha kuposti
 
Ingekua vip Chuo kikuu ni single mfano Muccobs.Udsm,Mzumbe,,,na kote kue ni Boys ama girls.:::;;;unadhani matokeo yake ingekuaje?
 
Sijawahi kuona ila sidhani kama ni practical kwenye level ya Chuo Kikuu......
 
Hii kal sasa

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom