Chuo Kikuu Ardhi kujenga Dodoma

Chuo Kikuu Ardhi kujenga Dodoma

kama ni kweli uzalendo mbele, wakitoka hapo waamie mifuko ya jamii NSSF, PPF PS.....
 
Vyovyote iwavyo suala matetemeko pamoja na other acts of God yazingatiwe. Mdogo mdogo tunaingia kwenye "ring of fire".
 
Hii habari ingekua na picha sio hivi ilivyo tungeona ilo jengo likoje
 
chuo kikuu cha bara bara na viwanda kitajengwa pia

sijawahipo kuona kila issue ikawekewa chuo kikuu
 
Back
Top Bottom