Chuo huko tarime

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
8,149
Reaction score
6,552
TANGAZO:
Chuo kipya kabisa cha Kikurya
(KURYA UNIVERSITY COLLEGE OF DEATH AND LIFE) kinatangaza kozi na degree mpya kw mwak wa masomo 2014/2015 kama ifuatavyo;

1- VITA miaka 4.
2- KUPIGA MKE miaka 3.
3- UNOAJI PANGA, MIKUKI & SIME mwaka1.
4- UANDAAJI WA KICHULI miaka 2
5- KUKEKETA miaka 3,
6.MBINU ZA KUIBA NG'OMBE miaka 2.
Chuo kipo Wilayani TARIME-RORYA. Atakayejiunga mapema atapewa Ofa ya kozi ya kulima Bangi BUREE!
Wahi nafasi ni chache.
sifa kwa muombaji;
1.awe na ngeo 5 au zaid
2. awe na hasira kibao,.
3.awe na makovu ya visu,panga,mkuki au sime.
 
Sasa hizo c ndo kozi za kiume kaka, au ww unataka kozi za ususi na mapambo
 
Hao jamaa watakuwa wameisha kufanya kitu kibaya. sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…