Chuo gani wanafundisha kozi za uproducer & na uDj?

Chuo gani wanafundisha kozi za uproducer & na uDj?

Jaribu DIT idara ya Computer wana diploma na pia unaweza kujaribu vyuo vya SAE kwa Africa kipo South Africa na ASIA wapo Thailand mji wa Bangkok
SAE Institute (Digital Film Making)
 
Cja fel wala nin niki2nakipenda 2.. ucone kama udj,producer na maMc nikwa wa2 walo fell wala wa kina dj kahald wana meki mkwanja kuliko wasomi bro so think twice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udj sio mgumu.
ila uprodyuza kimbembe.
Maana unataka ujifunze na kupiga vyombo vya muziki.
Kuna chuo kipo tabata alphabetical.kipo tabata.anafundisha allan mapigo.ada ilikuwa 200,000 kwa mwezi 1.sijajua kama bado anafundisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
university of bagamoyo
Kama hauna vigezo vya kudahiliwa rafuta university of manwater aliyemtoa 20%
 
Hizo ni sub-modules kwenye Multimedia and Film Tech, nafikiri ukisomea hii course utakuwa umepata unachikitaka.
DIT wanatoa Multimedia lakini kwa Ordinary Diploma.
 
Sinza kuna chuo kinaitwa itch dj's anafundisha dj pq alikuw clouds media yuko vizur unaez enda hapo
 
Back
Top Bottom