Chuo gani kinatoa bachelor nzuri ya irrigation?

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,335
Reaction score
404
nina diploma ya crop production na napenda kuwa engineer wa irrigation,kuna vyuo viwili vinavyo toa bachelor hiyo ingawa ziko tofauti. vyuo Hivyo ni ATC cha arusha wao wanatoa BACHELOR OF CIVIL AND IRRIGATION ENGINEERING. na chuo cha maji dar,wao wanatoa BACHELOR OF WATER RESOURCE AND IRRIGATION ENGINEERING,
SUA wanatoa BACHELOR OF SCIENCE IN IRRIGATION AND WATER RESOURCE ENGINEERING
sielewi ipi ni nzuri,
msaada wapendwad
 
nina diploma ya crop production na napenda kuwa engineer wa irrigation,kuna vyuo viwili vinavyo toa bachelor hiyo ingawa ziko tofauti. vyuo Hivyo ni ATC cha arusha wao wanatoa BACHELOR OF CIVIL AND IRRIGATION ENGINEERING. na chuo cha maji dar,wao wanatoa BACHELOR OF WATER RESOURCE AND IRRIGATION ENGINEERING,
sielewi ipi ni nzuri,
msaada wapendwad
Sokoine University of Agriculture wanatoa-BSc.(Irrigation and Water Resources Engineering) - Duration 4 years. Hapo uhusiano wa hayo mambo na crop production utaupata moja kwa moja (Idara za Agricultural engineering na zile za uzalishaji wa mazao zote hushiriki). Pia utapata nafasi ya kufanya project.
 
Asante sana mkuu,sikujua kama sua ipo, tena imekua bora zaid ngoja niipekue kwenye web yao, ila hapo kwenye duration 4yrs dah! kweli kusoma waweza zeekea shule
 
Nenda ubungo maji (WI) wanatoa water resources and irrigation engineering
 
Asante sana mkuu,sikujua kama sua ipo, tena imekua bora zaid ngoja niipekue kwenye web yao, ila hapo kwenye duration 4yrs dah! kweli kusoma waweza zeekea shule
Unapima yote hayo-urahisi wa kupata chuo, urefu wa degree unaambatana na ukubwa wa mkopo au gharama ya kujilipia, ubora wa program. Ukivipata hivyo vyote basi unafanya maamuzi.
 
Nitakushauri kesho. Leo nenda kajiongeze mwenyewe.
 
Unapima yote hayo-urahisi wa kupata chuo, urefu wa degree unaambatana na ukubwa wa mkopo au gharama ya kujilipia, ubora wa program. Ukivipata hivyo vyote basi unafanya maamuzi.
vipi mkopo wa hii ya sua ni %ngapi
 
vipi mkopo wa hii ya sua ni %ngapi
Labda ucheck Undergraduate Admission book ya mwaka jana-I assume ilikuwa categorised kama priority program. Mkopo waliweka Shs 1,263,000.00 (tuition fee).
 
hata SUA pana coz nzur san ya irrigation,Kwa msaada zaidi download [TCU book]
 
Asante sana mkuu,sikujua kama sua ipo, tena imekua bora zaid ngoja niipekue kwenye web yao, ila hapo kwenye duration 4yrs dah! kweli kusoma waweza zeekea shule
We kapiga msuli mkuu, siku zinakimbia sana mara utaona ushaua 4 years
 
Labda ucheck Undergraduate Admission book ya mwaka jana-I assume ilikuwa categorised kama priority program. Mkopo waliweka Shs 1,263,000.00 (tuition fee).
nimeina ilikuwa miongoni mwa priority program, asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom