Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Habarini wakuu,
Kutokana na kukosekana na forum ya wanachuo pekee. Nmefungua thread hii ili kushare na kushirikiana kwenye mambo tofauti.
Thread hii utakuwa sehemu ya kushare college books, lecture notes, Publications and research articles, college announcements, tutorials and past papers etc.
Wanachuo wote tushiriki kwenye hili, usiogope kutoa maoni yako.
Tena chuoni imezidi kwa kuwa maswali mengi huwa yanatoka kama yalivyo kwenye past papers..... Wanachuo wengi kufaulu hutokana na ku-discuss past papers.Hivi kumbe Chuoni huwa tuna tabia ya kupitia Past Papers kama darasa la Saba, Kidato cha Nne na cha Sita?
Tena chuoni imezidi kwa kuwa maswali mengi huwa yanatoka kama yalivyo kwenye past papers..... Wanachuo wengi kufaulu hutokana na ku-discuss past papers.
mfumo ndo unatupeleka..... ukijikuta mjuaji sana...... yanakutokea puani uku chuo....Basi kama kweli Wanachuo wa Chuo chako hupenda ' Kudiskasi ' Past Papers ili wafaulu tu Mitihani yao acheni tu Elimu ya Tanzania iwe ni mbovu na kituko inayotupelekea ' Kuchekwa ' kila siku na Wakenya, Waganda na Wanyarwanda.
Hakuna aisee sio kila mda wanatoa past paper....Tena chuoni imezidi kwa kuwa maswali mengi huwa yanatoka kama yalivyo kwenye past papers..... Wanachuo wengi kufaulu hutokana na ku-discuss past papers.
Mura, mbuya?Tarime university of social welfare.
Usikatae, wanatoa humohumo kwenye Past PapersHakuna aisee sio kila mda wanatoa past paper....
ndo maana nimesema sio kila kitu wanatoa kwenye past paperUsikatae, wanatoa humohumo kwenye Past Papers