Chuo cha urubani Tabata?

Chuo cha urubani Tabata?

dumuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2007
Posts
1,052
Reaction score
868
Kuna jamaa amekuwa akinadi chuo chake, kwenye stesheni mbili za radio zinazomilikiwa na mashirika ya kidini kuwa kinafundisha kozi ya urubani na kozi nyingine za anga. Wadau chuo hicho hakifundishi kabisa kozi za urubani Pia yeye hujinadi kuwa ni rubani nayo sio kweli.

Hukiita chuo university wakati hakina sifa wala hakitambuliki kama chuo kikuu. Ada za kozi zake ni za ulanguzi e.g. Airport ground handling ths 2.5million, Flight operatons and airline management 5 million, sare ambazo ni lazima laki 4. Kwa vyuo vlivyopo airport eg cha serekali CATC na cha Regional Aviation, ada kwa kozi hizo ni Kati ya laki 8 na 1 million. Huwarubuni wazazi kuwa vijana wakihitimu kozi ya flight operatons wakiajiriwa kwenye mashirika ya ndege watakuwa wakiruka kusaidiana na marubani, jambo ambalo sio kweli. Walimu wenye sifa za kufundisha kozi hizo hana. Walio kuwepo kwa muda mfupi waliondoka, na aliyekuwa principal aliacha kutakana na utapeli uliopo.

Pamoja na ukurugenzi hujiita chief instructor, wakati hata leseni ya flight operatons officers hana. Huyo jamaa hulazimisha ngono kwa baadhi ya mwanafunzi wa kike. Aliisha fukuza wanafunzi wakiume kwa kuhisi wanamahusiano wanafunzi wa kike anowanyemelea. Mmoja wa mwanafunzi hao alipeleka malalamiko TCAA.

Alimtimua mwanafunzi wa kike aliyekuwa hataki kuendelea kukaa kwenye hostel ya chuo, ambayo ni nyumba ya kupanga, kwa usumbufu wa huyo jamaa kumtaka ki ngono. Wadau chuo kipo Tabata magengeni kwenye jengo la crdb.
 
Kuna jamaa amekuwa akinadi chuo chake, kwenye stesheni mbili za radio zinazomilikiwa na mashirika ya kidini kuwa kinafundisha kozi ya urubani na kozi nyingine za anga. Wadau chuo hicho hakifundishi kabisa kozi za urubani Pia yeye hujinadi kuwa ni rubani nayo sio kweli. Hukiita chuo university wakati hakina sifa wala hakitambuliki kama chuo kikuu. Ada za kozi zake ni za ulanguzi e.g. Airport ground handling ths 2.5million, Flight operatons and airline management 5 million, sare ambazo ni lazima laki 4. Kwa vyuo vlivyopo airport eg cha serekali CATC na cha Regional Aviation, ada kwa kozi hizo ni Kati ya laki 8 na 1 million. Huwarubuni wazazi kuwa vijana wakihitimu kozi ya flight operatons wakiajiriwa kwenye mashirika ya ndege watakuwa wakiruka kusaidiana na marubani, jambo ambalo sio kweli. Walimu wenye sifa za kufundisha kozi hizo hana. Walio kuwepo kwa muda mfupi waliondoka, na aliyekuwa principal aliacha kutakana na utapeli uliopo. Pamoja na ukurugenzi hujiita chief instructor, wakati hata leseni ya flight operatons officers hana. Huyo jamaa hulazimisha ngono kwa baadhi ya mwanafunzi wa kike. Aliisha fukuza wanafunzi wakiume kwa kuhisi wanamahusiano wanafunzi wa kike anowanyemelea. Mmoja wa mwanafunzi hao alipeleka malalamiko TCAA. Alimtimua mwanafunzi wa kike aliyekuwa hataki kuendelea kukaa kwenye hostel ya chuo, ambayo ni nyumba ya kupanga, kwa usumbufu wa huyo jamaa kumtaka ki ngono. Wadau chuo kipo Tabata magengeni kwenye jengo la crdb.

So what? Acha umbea na majungu. kusoma wasome wao, kulipa walipe wao, kulalamika ulalamike wewe.
 
So what? Acha umbea na majungu. kusoma wasome wao, kulipa walipe wao, kulalamika ulalamike wewe.

Mkuu ni mashirika nini? naona imekugusa, kunakosa gani kutahadharisha wazazi? Maswala ya aviation ni mageni kabisa watu wenye kiu ya watoto wao kusomea urubani ni rahisi kutapeliwa their hard earned cash. Kufumbia macho uovu si uungwana.
 
We utakuwa una wivu ama ugomvi na muhusika. kama upo serious kweli kwa nini usiende kuripoti polisi? Acheni hizo nyie
 
we unadhani urubani mpaka nje acha uvivu wa kufikiri.

Vyuo vya urubani vipo hapa nchini nenda airport ya zamani Dar vipo na Zanzibar, cha Tabata hakina hata ndege moja.
 
So what? Acha umbea na majungu. kusoma wasome wao, kulipa walipe wao, kulalamika ulalamike wewe.
Mkuu taratibu hii thread inaweza kuonekana kama umbea lakini kumbuka, kozi za fani muhimu kama urubani haziwezi kufundishwa kama jamaa alivyoeleza. Yaani kachuo kako kwenye kighorofa fulani hapo Tabata. Kimsingi hawa jamaa wanashusha hadhi ya elimu na utaalamu kabisa.
 
Jamani mdau ametoa kama tahadhari tu! ni kweli haiwezekani useme unatoa kozi ya udaktari wakati hata hospitali (ambayo ni ya lazima) huna!!! yaani unatoa kozi ya urubani hata ndege huna, au wanafundishwa kwa picha za ukutani?

kweli "you can't be seruous"
 
Wanafundishwa kwa theory kwenye ubao ndege inachorwa then unaonyeshwa hapa ndo Start...
Hahahah...hii ndo Bongo bwana.
 
Aviation...aeronautical engineering..in tanzania!! Ila sishangai wakubwa wezi watoto wataacha kua wezi??
 
We utakuwa una wivu ama ugomvi na muhusika. kama upo serious kweli kwa nini usiende kuripoti polisi? Acheni hizo nyie

Mkuu sina wivu wala ugomvi ila hivyo ndio hali halisi kama responsible citizen nimejarbu at least kufunua macho wazazi wasioelewa vizuri maswala ya masomo ya aviation. Kama unajua chuo hicho vizuri basi fafanua,credibility zake. Zaidi ya hapo chuo hicho ndio kilichokuwa tazara baadae ubungo na kikahamia Tabata.
 
Mimi binafsi nilishawahi fika pale TAUC (Tanzania Aviation University College),Tabata- Magengeni. ''Honestly'', ni ''college'' ambayo bado ipo kwenye matengenezo. Kwa taarifa tu, awali hawa jamaa walikuwa Banana karibu na Airport kabla ya kufukuzwa huko!Nilikwenda pale kwa lengo la udadisi na kutaka kupata ukweli kwani nilivutiwa na maelezo ya huyu mhe. Chara*** ,Mazingira yake: kulikuwa na mlundikano wa makaratasi kwenye mapokezi, fotokopi mashine hapohapo,eneo la mapokezi ni dogo lkn pia kulikuwa na wanafunzi darasani pembeni na hako kasehemu ka mapokezi. Kwa kweli nilipokelewa vizuri, nilikutana na kijana mmoja ambaye alisema kuwa amemaliza UDSM lkn ni mkufunzi pale. Alinieleza mambo mengi kuhusiana na field hiyo ya Aviation, si haba nilijifunza kitu.Lakini cha kushangaza siku hiyo hiyo nilipewa form ya Admission(udahili) kitu ambacho kilinipa mashaka. Aliyenipokea alinieleza kuwa kuna watoto wa mawaziri wanasoma pale lkn sio rahisi kuwatambua na kuna wakufunzi toka jeshini huja pale kufundisha.

Kwa msingi huo, nilikwenda Airport kuna chuo cha serikali i.e CATC ( civil Aviation Training college) Nilipata maelezo ya kutosha. Bahati nzuri nilikutana na mkufunzi ambaye tulizungumza naye ofisi kwake tukabadilishana mawazo maana tuliweza kuelewana kutokana na level zetu za elimu, aliniambia siku hizi huchukua watu wa degree kwa mafunzo ya urubani tofauti na zamani ambapo walikuwa wanachukua F6 leaver. sababu ni kuwa wanaopanda ndege ni watu wenye Elimu tofauti (prof,Dr, n.k)so ni vema awepo mtu mwenye elimu walau ya chuo kidogo ili mazungumzo yawe mepesi, maana F6 akisikia Profesa anaanza kufikiria ni mtu wa ajabu sana kumbe ni binadamu kama wengine tu.
Mwisho alisema ..'' watanzania wengi hawapendi kutafuta taarifa sahihi mahali sahihi'' akaongeza wapo waliokuja wakasema kuna chuo cha anga huko tabata.. kwa nini wasiende mamlaka ya Anga TZ kuuliza!

Ushauri: kama unataka kusoma fani yoyote ya Anga, zipo nyingi sana ...nenda Mamlaka ya Anga TZ. utaishia kuliwa na wajanja hela zako. Jana huyoo mhe. aliulizwa chuo hicho ni cha serikali au private? akaanza kuuma maneno!

Mwisho: Mkurugenzi wa hicho chuo amesoma HGL, hana degree yoyote(NB: sisemi kwamba kutokuwa nayo kunakunyima nafsi ya ukurugenzi )!

c.c dumuzi, LIKUD,m 23,mopaozi,Katufu, Earth on heaven,stata mzuka ,LORDVILLE
kwa leo naishia hapa....
 
Aviation...aeronautical engineering..in tanzania!! Ila sishangai wakubwa wezi watoto wataacha kua wezi??
kuna chuo cha serikali kinatoa mafuzo kwa ngazi ya dipl. kipo Airport. kinatoa kozi za engineering .
 
Ualimu unasomea udsm unafundisha guru kishimundu tatizo nini!
 
Kuna jamaa amekuwa akinadi chuo chake, kwenye stesheni mbili za radio zinazomilikiwa na mashirika ya kidini kuwa kinafundisha kozi ya urubani na kozi nyingine za anga. Wadau chuo hicho hakifundishi kabisa kozi za urubani Pia yeye hujinadi kuwa ni rubani nayo sio kweli. Hukiita chuo university wakati hakina sifa wala hakitambuliki kama chuo kikuu. Ada za kozi zake ni za ulanguzi e.g. Airport ground handling ths 2.5million, Flight operatons and airline management 5 million, sare ambazo ni lazima laki 4. Kwa vyuo vlivyopo airport eg cha serekali CATC na cha Regional Aviation, ada kwa kozi hizo ni Kati ya laki 8 na 1 million. Huwarubuni wazazi kuwa vijana wakihitimu kozi ya flight operatons wakiajiriwa kwenye mashirika ya ndege watakuwa wakiruka kusaidiana na marubani, jambo ambalo sio kweli. Walimu wenye sifa za kufundisha kozi hizo hana. Walio kuwepo kwa muda mfupi waliondoka, na aliyekuwa principal aliacha kutakana na utapeli uliopo. Pamoja na ukurugenzi hujiita chief instructor, wakati hata leseni ya flight operatons officers hana. Huyo jamaa hulazimisha ngono kwa baadhi ya mwanafunzi wa kike. Aliisha fukuza wanafunzi wakiume kwa kuhisi wanamahusiano wanafunzi wa kike anowanyemelea. Mmoja wa mwanafunzi hao alipeleka malalamiko TCAA. Alimtimua mwanafunzi wa kike aliyekuwa hataki kuendelea kukaa kwenye hostel ya chuo, ambayo ni nyumba ya kupanga, kwa usumbufu wa huyo jamaa kumtaka ki ngono. Wadau chuo kipo Tabata magengeni kwenye jengo la crdb.

Mwanafunzi wake(wa kike) aliulizwa swali na mtangazaji: kwa nini unasoma kozi ya Airline Mgt? mwanafunzi: kwa sababu inalipa. Mtangazaji: kwa hiyo unataka uniambie unasoma hiyo kozi kwa sababu tu inalipa? Mwanafunzi: Ndiyo, nimeona wanawake wenzangu maisha yao yalivyo mf. Anna chistopher Mwakasege, na (huyu Mama jina lake nimesahau ila ni mkurugenzi wa kiwanja cha ndege ktk section flani hivi hapa Tz).
 
Back
Top Bottom