chuo cha ualimu wa chekechea, ada nafuu

chuo cha ualimu wa chekechea, ada nafuu

Kitumburee

Senior Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
142
Reaction score
89
Habari wandugu,
naomba mwenye kujua chuo cha ualimu wa shule za awali ambacho kina ada nafuu boarding anijulishe tafadhali.
kiwe mkoa wa Dar es salaam au mikoa ya jirani.
shukran.
 
Back
Top Bottom