Chuo cha TIA chaachia list of students selected undergraduate students first batch 2015

Thanks mkuu nimefanikiwa pande hizo kuona jina langu japo profile bado haijabadilika kule Nacte
 
Ahsante kwa taarifa mkuu, sasa walau akili imetulia.Nashukuru jina langu ni miongoni

Vipi kuhusu admission letter mana hata hawajasema chuo kinafunguliwa lini. Mwenye full details plz tililika
 
Kwa sasa kula wali kwanza mkuu nyama zipo kwa chini....joining instructions na admission letter watatoa siku si nyingi
 
Back
Top Bottom